PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
aliahidi mambo muhimu sana kama vile kupeleka wananchi wa kawe china na marekani, akaahidi kujenga treni ya kisasa kawe, akaahidi kununua boti za uvuvi za kisasa kwaajili ya wavuvi wa kawe n.k

kwakweli alizingumza mambo mazuri mno kwaajili ya wana kawe gentleman, na muda wa majumuisho umefiki, huku giza totoro katika ahadi zote hizo.

kisasa,
hata kama ni wewe ungefanyaje kukwepa maswali ya hasira ya wananchi wa kawe dhidi yako?,🐒
Kwani gwajima yupo chadema au ccm? Na mlikua wapi kiongozi akaahidi vitu ambavyo hata kwenye ilani yenu kama chama havipo?
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "

Ni kweli Magwajima tusiyaonee haya
 
ccm ya sasa ni ccm imejaa ibirisi watupu ushetani uliopo ccm ni wa kutisha sana, Yaani Gwajima amekataa ushetani wa kuteka watu kuonea watu kupiga watu kuwabambikia kesi watu matendo haramu ya kishetani, sasa amegeuka kuwa Adui wa ccm makao makuu ingawa wapo ccm wacha mungu kama mpina wana muunga mkono lakini kwa kifupi ccm ya sasa ni ccm ya hovyo haijapata kutokea
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "

Ukisikia mwanamke hafai kupewa madaraka ndiyo hivyo,ndo maana Uisilamu umesema hawa watu wakae jikoni wawe wanawapikia wanaume,kulea familia haya mambo ya uongozi hawayawezi,
Kwa hiyo wasiojulikana mko huru kuendelea na michezo yenu,kumbe tatizo liko kwa Gwajima kutaka wajulikane
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "

Badala ya kuongoza nchi tuna Raisi wa mipasho🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom