PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa KATIBA hii tuliyo nayo Akitoka mwenyezi Mungu anafuatia RAIS wa nchi.
Kuweza ku battle nae ni kazi maana vyombo vya ulinzi na usalama vimaweza kumuua kwa mbinu mbali mbali..

Ogopa Sana binadamu anapo saka madaraka na vyeo ama kulinda maslahi yake..una uwawa unakumbuka SAGA ya KAMBONA VS NYERERE, KINA HANGA NA BABU?

NACHO JUA GWAJIMA HAJAWAI KUSHINDWA BINAFSI MIMI NI ROLE MODEL WANGU NI CHARISMATIC LEADER NA MAMA SAMIA AMESHA WEKWA MSALABANI PALE UFUFUO NA UZIMA CATHEDRAL KUNA MAOMBI YA KUSHINDANA TUNGOJE DAKIKA 90.


Hakika Mkuu.
 
😂😂😂😁 Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.

Ngoja niagize Serengeti lager hapa, nikisubiri Press ya Gwajima au Makamba ✌🏾 😁
Hii kitu lazima aruke nayo madhabahuni jumapili.
 
Ukitaka kuongea kwa uhuru hamia CHADEMA
Ata ukiwa Chadema ukiongea ukweli wa mambo yalivyo lazima utapata maadui.
Sisi sijui tume logwa, Mambo aliyo ongea Gwajima yanaonekana wazi kabisa, lakini Kuna Watanzania Wenzetu wanamuona Adui!!
Mambo aliyo ongea Gwajima hayausu Chama kwakua ata yeye ni CCM.
Mambo aliyo ongea yanahusu jamii yetu na ameshauri hatua za kukomesha mambo ayo zichukuliwe, Mambo ayo yakikomeshwa ni kwa maslahi ya Taifa Zima na si Gwajima pekee.
Kwanini ana onekana Adui au jamii yetu inafurahia mambo ya utekaji na ukandamizaji.
Vitendo hivi vya hovyo vimekua vikiongezeka, tunaelekea kubaya.

Sina shida Rais aliyepo kuendelea najua muda ukifika ata chaguliwa mwingine ila vitendo ivi vinavyo endelea vinaleta laana katika Nchi.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "


Wakachaguane kwa haki huko ila kwenye urais huku hapana?
 
Kinachonishangaza zaidi anakomalia wengine wapite kwenye mchujo mkali ingali yeye alihujumu katiba ya chama ili asipite kwenye kikaango.....Alijua hawezi toboa. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Kwa maneno ya leo tumepata picha kuwa mama hana washauri makini na kama wapo watakuwa ni washauri makanjanja wenye Akili ndogo IQ ndogo kama za Mbunge Msukuma na Abas Tarimba, ukishasema nendeni mkatende haki maana yake haki ni Gwajima kwani ndiyo msema kweli, na kama kutenda haki ni kimyume na Gwajima hapo hakuna haki kutakuwa na vitendo haramu vya kishetani
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "

Hayo ni matusi kwa Gwajima na wale wanalia na utekaji, Ubakaji, mauaji ya dola!! Tumekwisha
 
Back
Top Bottom