Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Lakini gwajima si alizungumza kama mwananchi au kuna kichaka ameunguza! 😲
Mpaka sasa Gwajima ni shujaa wa Taifa wapenda haki wote wapo nyuma yake iwe kwa uwazi na hata moyoniTafsiri yake nini kwa mwendawazimu anaweza kutafsiri kuwa matendo hayo ni halali Tanzania.Inawezekana Gwajima alitoka nje ya msimamo wa chama kwa tafsiri ya mheshimiwa lakini ukweli ni ukweli tu na haugawanyiki.
Ni vigumu kumdhuru Gwajima.Uhai wake je!?
Hoja sio kujisifu mkuu , jibu hoja zangu kama mtu mwenye akili timamu kwa sasaGentleman,
mimi sio mropokaji kama wale viongoz wa kile chama cha uropokaji.
Mimi sio mtu wa kubuni majibu ya uamuzi wa wananchi wa kawe au kua upande upendao wewe.
mimi ni mtu makini bana.
wana kawe waliamua na wataamua pia hivi karibuni kabla ya November 🐒
Gwajima alitupa jiwe kichakani akiwa hajui nani yupo ndani lakini sasa wameibuka ni Aibu kwa Nchi ya TanzaniaLakini gwajima si alizungumza kama mwananchi au kuna kichaka ameunguza! 😲
Hajapata mafao bado, akipata ndio atakuwa hana cha kupotezaGwajima sasa hana cha kupoteza,na mtu ambaye hana cha kupoteza huwa ni hatari sana.
Je gwajima atakubali asirushe makombora wakati hana cha kupoteza?
huna hoja gentleman dhidi ya uamuzi wa wana kawe na huwez kua na hoja dhidi ya hilo zaid ya kujenga dhana potofu ambayo haitakua na athari zozote dhidi ya uamuzi wa wananchi wa kawe 🐒Hoja sio kujisifu mkuu , jibu hoja zangu kama mtu mwenye akili timamu kwa sasa
Washauri wake ni wa hovyo ebu mfano uwe na mshauri kama Amos makala mpenda Dili Dalali wa siasa mnunuzi wa G55 kwenda ubwabwa unategemea nini? ccm ya sasa ni ya hovyo sanaHuyu bimkubwa abdul hana akili
Ndio madhara ya ile chacho ya COVID 19.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Ni heri kula bia tu la sivyo, asidi inazidi tumboni, tumbo linawaka moto tu....kwa tulipofikia tule bia sana.Watu wale bia, napenda wanadamu wanao kula vitu hawana unafki😅
Unadhani gwajima ni matako yako?Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri