PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
huna hoja gentleman dhidi ya uamuzi wa wana kawe na huwez kua na hoja dhidi ya hilo zaid ya kujenga dhana potofu ambayo haitakua na athari zozote dhidi ya uamuzi wa wananchi wa kawe 🐒
Umesema mimi sina hoja , Thibitisha hao wana kawe walipiga kura na gwajima kushinda , na utajibu bila kuujua mtego ,na hata ukiujua hautaweza weza kutegua zaidi ya kuingia kwenye mtego zaidi🤔🤔 kaka shule hatukwendwa kusomea ujinga🤣🤣
 
Hii nilijua mama ata hit firmlly back, ndio ilikuwa golden chance kum flame gwajima. Sasa tusubiri reactio ya gwajima kama hana cha kupoteza au ikawa mchezo wa tom and jerry
Vyote vipo maigizo yapo na kumaanisha kupo pia, maanda Tanzania ya sasa mbinu za kuwahadaa wananchi ni nyingi sana, lakini mpaka hapa tulipo Gwajima ni shujaa na watanzania wengi wapo nyuma yake
 
Hataki kukosolewa huyu mama Abdul, heri adui unayemfahamu kuliko yule usiyemjua
Raisi Hukosolewa vikaoni sio mabarabarani
Mbunge Gwajima ana sehemu zake official za kuongelea bungeni na vikao vya chama ambavyo yeye ni mbunge sio kuongelea mabarabarani

Ana platform official.

Raisi kamwelezea wazi anacheza ngoma isiyo yake ya kiti chake official

Binafsi naona anacheza ngoma ya akina Martha Karua,Mwangi na akina CHADEMA nk
Hiyo press conference hakuuitisha kwa bahati mbaya yuko ngomani kwa akina Martha Karua yeye akiwa mpiga ngoma yao Tanzania
 
Wapenda haki Duniani kote wanaandamana moyoni dhidi ya maovu uonevu manyanyaso ya ccm kwa chadema na mungu anawaona ccm na njama zao zote atamlinda Gwajima kwa kiba baya wanalopanga juu yake
 
Back
Top Bottom