PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Raisi Hukosolewa vikaoni sio mabarabarani
Mbunge Gwajima ana sehemu zake official za kuongelea bungeni na vikao vya chama ambavyo yeye ni mbunge sio kuongelea mabarabarani

Ana platform official.

Raisi kamwelezea wazi anacheza ngoma isiyo yake ya kiti chake official

Binafsi naona anacheza ngoma ya akina Martha Karua,Mwangi na akina CHADEMA nk
Hiyo press conference hakuuitisha kwa bahati mbaya yuko ngomani kwa akina Martha Karua yeye akiwa mpiga ngoma yao Tanzania
Kwa akili yako angeongelea bungeni angepata hata dk moja kuzungumza mambo ya utekaji zaidi ya kuletewa miongozo mwisho kukalishwa chini chawa hamuoni vema eti
 
Kwa akili yako angeongelea bungeni angepata hata dk moja kuzungumza mambo ya utekaji zaidi ya kuletewa miongozo mwisho kukalishwa chini chawa hamuoni vema eti
Angepata kwa nini asipate mbona wabunge kibao walushapewa nafasi hiyo Nenda hansard za bunge kaangalie
 
Save the date/ comment, Kuna mtu hatofika "OCTOBER" GWAJIMA ni machine ya kusaga UNAINGIZA MAHINDI UNAPATA UNGA.

Sijapenda MAJIBU YA Samia ni dharau kubwa Sana kwa watanganyika 😭

TIME IS THE BEST TEACHER.
Ndiyo maana rais LAZIMA AWE MWANAUME!
 
Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri


Amini usiamini hii CCM ya Samia ndiyo ya Mwisho kutawala Tanzania .
Ni miaka mitano tu ijayo na itapotea kabisa .
Samia ataiacha Tanzania ikiwa katika hali mbaya sana kisiasa na kiuchumi na kijamii.

Kule Pemba watu hawataki kanisa lijengwe .

Mwarabu mwanaye dini ya Kiislam na mitume walitokea mashariki ya kati lakini Sultani karne ya 18 aliruhusu kanisa kujengwa Zanzibar leo miaka 65 ya uhuru na muungano huku wazanzibari wakiwa wametapakaa Tanganyika kila mahali na kuhodhi uchumi mkubwa sana wanapinga kwa chuki kanisa lisijengwe Zanzibar na hakuna anayekemea na kuwaelimisha watu Kuwa dini ni hatari ya mtu . Hakuna watu watakaoenda peponi kwa maandamano ya pamoja . Kila mtu ataingia kwenye kaburi lake na ataulizwa maswali yake mwenyewe .
Mungu anajua zaidi kuliko binadamu ndio maana alimwacha mpaka shetani akae humu humu duniani na hakumuua wala kututenganisha naye zaidi ya sisi kutumia akili na utashi wetu kumfuata au kumkataa na kumwabudu Mwenyezi Mungu .

Ni wazi nguvu kubwa inatumika kuzuia watu wengine kufanya siasa kwa uhuru na kwa haki lakini atakiumiza Chama sana na watakaobaki wataanza kumalizana wenyewe maana hawatakua wamejipanga .

Ule utaratibu wa CCM wa kugombea kwa mara ya kwanza ulikua mzuri maana ulikua unawajua watakaofuatia na wenye nguvu . Yaani kwa mfano Samia angekuwa amegombea labda na Kabudi au Mwigulu halafu akashinda basi ingekuwa rahisi watu kujua kabisa kambi yenye nguvu na kujipanga . Lakini kwa sasa hakuna itabidi waibuke watu kama Mchengerwa na Makonda watu wenye ukatili fulani . Mmoja mkatili mzalendo na mkatili fisadi . Chama kitakuwa kimechokwa sana kufikia 2030. Kuna watu watadtaafu na kupelekwa mahakamani na mali zao kutaifishwa .
Yetu macho .
Bora yule wa kutoka Omani maana atarejea kwao .
 
Angepata kwa nini asipate mbona wabunge kibao walushapewa nafasi hiyo Nenda hansard za bunge kaangalie
Acha porojo tulia yeye mwenyew alikataa hati ya dharura Mambo ya utekaji kujadiliwa sasa huo uhuru unaotoa wap
 
Back
Top Bottom