PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndiyo maana rais LAZIMA AWE MWANAUME!
Ni kweli sijajua ame speculate Nini Ila Samia hakupaswa kujibu MAJIBU ya taarabu.

Ina maana mama Samia haumizwi na watanganyika 😭 wanao potezwa na kuuwawa na vyombo vya Dola kwa maelekezo/ ama bila maelekezo.

Ni lini Kama taifa na ikiwa kila mmoja akijifanya / sided na watu walio kinyume na uhai/ haki za watanzania/ watanganyika kwa ujumla wao wataamua kukaa kimya.
 
Samia 5 gwajima 0 dk 90 hii

USSR
BlendMePhoto1748610619407.jpg
 
Hehehe Gwaji boy sasa alichokuwa anakitafuta anaenda kukipata, ila uzuri ana mtaji wa kanisa
Ubunge wa tz Hauna hadhi maana hata dada poa anaweza hongwa ubunge na wote mkawa Dodoma
 
Back
Top Bottom