PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umesema mimi sina hoja , Thibitisha hao wana kawe walipiga kura na gwajima kushinda , na utajibu bila kuujua mtego ,na hata ukiujua hautaweza weza kutegua zaidi ya kuingia kwenye mtego zaidi🤔🤔 kaka shule hatukwendwa kusomea ujinga🤣🤣
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi ndio pekee yenye mamlaka ya kisheria hutangaza uamuzi wa wananchi kupitia matokeo ya kura na sio vinginevyo. Raia hana mamlaka ya kisheria kuthibitisha ushindi wa uchaguzi wa chama cha siasa au mgombea Fulani.

ni muhim kwa watengeneze narrative kama wewe kubaki na dhana potofu tu iliyozoeleka ya kuibiwa kura ambazo huna na hukupata 🐒
 
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi ndio pekeyenye mamlaka ya kisheria hutangaza uamuzi wa wananchi kupitia matokeo ya kura na sio vinginevyo. Raia hana mamlaka ya kisheria kuthibitisha ushindi wa uchaguzi wa chama cha siasa au mgombea Fulani.

ni muhim kwa watengeneze narrative kama wewe kubaki na dhana potofu tu iliyozoeleka ya kuibiwa kura ambazo huna na hukupata 🐒
Kwanza ujue mimi sio raia wa taifa lako 🤔pili ujue wapo watanzania wameona bora kuishi kwa raha tu ila wanayo elimu na akili ya kuchukua hata kidogo ulicho nacho wewe kwa namna yoyote na wakatenda haki
 
Unajidanganya, vuta subira uone moto wake. Karushiwa chambo huyo, kanasa vizuri kama kambale
Sana mkuu, nadhani mwenyekiti wetu kadanganywa tena. It was very simple kumjibu Gwajima. Think of Mzee Kibao, uchunguzi wake upo wapi???? What about Fr. Kitima? What about Mh. Lisu??? Nadhani Serikali inatakiwa kuja na majibu badala ya kutetea uuaji wa ovyo. Iko siku naona kabisa kuna watu watasimama mahakamani moja wapo mwenyekiti wetu Dkt Samia.
 
Chama chenu kilishakua Gwajimanized kitambo sana
Hata wewe usipoangalia atakutoa kwenye mstari
 
Tukisema kwamba ccm hakuna watu makini wa kujibu hoja wana ccm hua wanapinga lakini katika hili ubishi wao umefika mwisho, wote waliomjibu ni uharo mtupu hakuna la maana wameongea, Mpaka hapo inamaanisha kwamba gwajiboy hana cha kupoteza sasa wajipange majibu yao watayapata siku sio nyingi
 
Back
Top Bottom