feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Bora Jiwe alikua haongelei kuliko huyu anaona fahariTuna rais mbaya kuwahi kutokea Tanganyika,majuzumu mkubwa kabisa
Bora Jiwe alikua haongelei kuliko huyu anaona fahariTuna rais mbaya kuwahi kutokea Tanganyika,majuzumu mkubwa kabisa
Alikuwepo Dr. Lamwai...mjenga hoja kweli kweli....!!!Na Gwajima ninayemfahamu, labda!
Ngoja tuone kama hii vita mama ataishinda
Bora kizazi icho kuliko hichi cha sasa vijana hawatak kufanya kaz wanaamin katika uchawakuna kizazi hiki cha umri wa 45 kwenda juu kinatakiwa kuisha,hapo ndipo Tanzania itaanza kujitambua angalau kwa mbaali.
Alikuwa msaidizi wake ...sina hakika kama kazi zote za kumsaidia alikuwa anamtaarifu kuwa anamsaidia....!!!Bora Jiwe alikua haongelei kuliko huyu anaona fahari
Nileteeni Gwajima,nileteeni Gwajima ....nileteeeeeeeeeeeeeniii Gwajima.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
gwajiboy alishajua hili kitambo, alishajua anatafutiwa kona ndio maana kajitanguliza mwenyewe; ila wawe makini wasijichafue zaidi.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
War between who and who? Mbowe and Lissu can have and they have war. But Gwajima can never have war with either Chairperson Samia or CCM as a part because Gwajima "knows" his place!The real war has started
Sana mkuu, nadhani mwenyekiti wetu kadanganywa tena. It was very simple kumjibu Gwajima. Think of Mzee Kibao, uchunguzi wake upo wapi???? What about Fr. Kitima? What about Mh. Lisu??? Nadhani Serikali inatakiwa kuja na majibu badala ya kutetea uuaji wa ovyo. Iko siku naona kabisa kuna watu watasimama mahakamani moja wapo mwenyekiti wetu Dkt Samia.
Uko sahihi sana mkuu.Washauri wake ni wa hovyo ebu mfano uwe na mshauri kama Amos makala mpenda Dili Dalali wa siasa mnunuzi wa G55 kwenda ubwabwa unategemea nini? ccm ya sasa ni ya hovyo sana
ni kwa Neema na Baraka za Mungu sote tunaishi kwa amani na utulivu licha ya utofauti wa mawazo, mengine ni ziada tu 🐒Kwanza ujue mimi sio raia wa taifa lako 🤔pili ujue wapo watanzania wameona bora kuishi kwa raha tu ila wanayo elimu na akili ya kuchukua hata kidogo ulicho nacho wewe kwa namna yoyote na wakatenda haki
Thibitisha uwepo wa Munguni kwa Neema na Baraka za Mungu sote tunaishi kwa amani na utulivu licha ya utofauti wa mawazo, mengine ni ziada tu 🐒