PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tumeelewa kwanini Tz ya leo hoja zinajibiwa kwa matendo maovu, na tumeelewa ujumbe wa Gwajima ulimlenga nani hasaa. Haya mambo yanabaraka tukufu zaidi kuliko yote.
 
Angalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
Screenshot_2025-05-16-10-30-57-181_com.twitter.android.jpg
 
Huyu mama ni katili wa wazi kabisa
mlimtukana sana kwa kumuita mpole,mara sijui awe kama magufuli acheki na kima, mara sijui mahijabu,


Acha awanyooshe muwe na heshima next time..mama wa watu alianza kuongoza nchi kwakuwa muungwana kabisa, lakini mlivyo wapuuzi mkawa mnatukana mkisaidiana na watu wa team Jiwe
 
Huyu akitoka madarakani atakua na sonona mbaya sana na joto ataanza kulipata anapokaribia kumaliza muhula.
 
mlimtukana sana kwa kumuita mpole,mara sijui awe kama magufuli acheki na kima, mara sijui mahijabu,


Acha awanyooshe muwe na heshima next time..mama wa watu alianza kuongoza nchi kwakuwa muungwana kabisa, lakini mlivyo wapuuzi mkawa mnatukana mkisaidiana na watu wa team Jiwe
Kwa hiyo mwaka huu mtawanyosha wafuasi wa jiwe? Ni zamu kwa zamu au vipi?
 
Je ni nani alie nyuma ya watekaji na wapktezaji watu?!! JE Ndani ya ccm utekaji na upotezaji watu umehalalishwa?
 
Ninamlaumu sana mabeyo kwa kukubali nafasi takatifu kwenye nchi yetu kukaliwa na nyang'au asiye na hata akili ya kutawazia aibu za usoni. Inamaana hajaona umuhimu wa hoja za gwajiboy? Huyu limama ndilo liuaji la watanzania aisee. Hapo anakiri wazi wazi kuwa kinachomkera gwajima yeye ndio mtekelezaji wa mauaji hayo
 
Tumefika pabaya kama Rais ambaye anajinasibu kusimamia Demokrasia akiamrisha kamati za teuzi kupitisha na kutowapitisha baadhi ya wagombea badala ya kuachia wananchi waamue wao wenyewe.


Tanzania hamna Uchaguzi tunapoteza pesa za bure.
Tunaomba Demokrasia ianzie kwenye nafasi ya juu kabisa ya Urais.
Huwezi kuhubiri Demokrasia ambayo hata wewe mwenyewe huifanyi.
 
Madhara ya kutawaliwa na mwanamke ndio hayo mara nyingi wao hisia hua zinachukua sehemu ya akili kwenye kufanya maamuzi, kitu cha ajabu kabisa hayo matahira yaliyo jazana humo yana piga makofi kabisa kwa maneno ya hovyo namna hiyo

Ndomana Mungu kakataza kwenye vitabu vyake vyote mwanadamu kuongozwa na Mwanamke. Ni kimbelembele chetu tu kutaka kumchagua
 
Back
Top Bottom