PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nani ni mshauri wa rais Samia?

Gwajima amezungumzia utekaji na watu wanaopotea, rais ni kama amemchukia, sasa hapa rais anatuambia nini watanzania?
​
Kimsingi amedhihirisha rasmi kuwa mama abdul ni muhusika mkuu.
 
Haya ni makosa ya Chadema, mnamwachaje samia agombee urais peke yake? Bora hata akina John mrema waliyepinga Samia kupitwa bila kupingwa.
Kwamba chadema ikigombea itamshinda? Mtu haguswi na mauaji ya vijana aje kuguswa na kijiuchaguzi. Yani ataiba hadharani
 
Mambo Kadhaa kuhusu Askofu Gwajima

1.Mtu mwenye Misimamo katika Vitu anavyoviamini

2.Mtumishi wa MUNGU kweli kweli asiebagua Watu Kwa sababu ya Itikadi zao za Kidini,kabila Elimu jinsia ukanda,vyama

3.ANA HEKIMA mnoo kwa NEEMA ya MUNGU,ya Kuwafahamu watu,majira ni Kipi kifanyike

4.Anajua majira Ya kuzungumza na Majira ya kunyamaza na Azungumze nini

5.KITU ambacho HANA ni WOGA

6.Ametengeneza Watu Wengi wa Namna Yake

7.Maswali yake Ni ngumu sana kumpatia majibu sahii

8.Ukimtega kwa maswali au Maneno utabaki mdomo wazi ukistaajabu Hekima yake

9.Usiwe mwepesi Kumjibu unaweza jikuta umejibu upumbavu mkubwa mnoo hadi watoto wadogo wakashangaa

10.Kabla hajanena wala kufanya chochote anajua kabisa nini kitatokea hivyo siku zote Haofii matokeo

11.Analipenda Taifa lake kuliko chochote, hupenda kujiita Mr Tanzania 🇹🇿

12. Amefanya Mengi na ameongea mengi,ameshauri mengi ya kuiponya nchi yetu na Kuisaidia

13.Hutokea Hasa Taifa linapokuwa kuwa katika nyakati ngumu

14.HUWEZI kumuonga Kwa Vyeo wala Mali

15.Ametumwa kwaajili ya saa na Majira haya 🇹🇿

16.Hafi leo wala Kesho Mpaka amalize Ajenda ya Kiufalme

17.Ukishindwa Kushindana naye Ungana naye tu hata kwa Unafiki kwa Sababu Huwezi Kumshinda

Kama unampenda Gwajima ongeza walao mambo matatu Mazuri kuhusu Askofu Gwajima na share Kwa wingi
#TANZANIA 🇹🇿 KWANZA mengi Yote Baadae.

C & p
 
Samia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavu
Kwani Gwajima anakosa gani hadi huyo mbibi akasirike? Kwamba huyo mwanamke anaweza mtisha gwajima au NAFASI ndio inamtisha Gwajima?

Mnamsifia na kumuogopa bure ru huyo mbibi. Kama Jiwe ameshaoza pale chato yeye nani?

Asitishie watu.
 
Haya ni makosa ya Chadema, mnamwachaje samia agombee urais peke yake? Bora hata akina John mrema waliyepinga Samia kupitwa bila kupingwa.
Kwa tume ya uchaguzi iliyopo ni kama kumsindikiza mshindi ..., hasa nafasi ya rais
 
Mambo Kadhaa kuhusu Askofu Gwajima

1.Mtu mwenye Misimamo katika Vitu anavyoviamini

2.Mtumishi wa MUNGU kweli kweli asiebagua Watu Kwa sababu ya Itikadi zao za Kidini,kabila Elimu jinsia ukanda,vyama

3.ANA HEKIMA mnoo kwa NEEMA ya MUNGU,ya Kuwafahamu watu,majira ni Kipi kifanyike

4.Anajua majira Ya kuzungumza na Majira ya kunyamaza na Azungumze nini

5.KITU ambacho HANA ni WOGA

6.Ametengeneza Watu Wengi wa Namna Yake

7.Maswali yake Ni ngumu sana kumpatia majibu sahii

8.Ukimtega kwa maswali au Maneno utabaki mdomo wazi ukistaajabu Hekima yake

9.Usiwe mwepesi Kumjibu unaweza jikuta umejibu upumbavu mkubwa mnoo hadi watoto wadogo wakashangaa

10.Kabla hajanena wala kufanya chochote anajua kabisa nini kitatokea hivyo siku zote Haofii matokeo

11.Analipenda Taifa lake kuliko chochote, hupenda kujiita Mr Tanzania 🇹🇿

12. Amefanya Mengi na ameongea mengi,ameshauri mengi ya kuiponya nchi yetu na Kuisaidia

13.Hutokea Hasa Taifa linapokuwa kuwa katika nyakati ngumu

14.HUWEZI kumuonga Kwa Vyeo wala Mali

15.Ametumwa kwaajili ya saa na Majira haya 🇹🇿

16.Hafi leo wala Kesho Mpaka amalize Ajenda ya Kiufalme

17.Ukishindwa Kushindana naye Ungana naye tu hata kwa Unafiki kwa Sababu Huwezi Kumshinda

Kama unampenda Gwajima ongeza walao mambo matatu Mazuri kuhusu Askofu Gwajima na share Kwa wingi
#TANZANIA 🇹🇿 KWANZA mengi Yote Baadae.

C & p
Hiyo namba 16 nimeipemda. Tunasemaga mbeba maono hafi kwa namna yoyote ile kama ambavyo risasi 37 hazikutoa uhai wa Lissu ila Mafua tu yakatoa uhai wa JIWE.

Jezebel anataka nchi nzima atunyee kichwani? Kwamba afanye atakavyo na asikuwepo mtu wa kuhoji?

Pumbavu.
 
Najiuliza sipati majibu,ni nani anayeandika hotuba za rais wetu? Je huwa hafikirii mambo ya msingi ambayo anapaswa rais wetu ayazungumze kwa watu anachowaza yeye ni kumtungia hotuba ya mipasho?

Kweli kabisa huyu mtu ameaminiwa na rais wetu kutunga hotuba zake?

Nimeishia kidato cha nne lakini nikiambiwa nitunge hotuba ya kumjibu gwajima mimi kama mwandishi wa hotuba za rais wangu sitatunga mipasho kama hiyo.

Ni wakati sasa Lucas Mwashambwa mwashambwa mamlaka ya uteuzi ktk ikulu ya rais samia imulike kote tanzania na imteue huyu kijana kuwa mwandishi wa hotuba hizo. Hata kama huyu bwana Lucas Mwashambwa huwa anaandika vitu visivyoshabihiana na utendaji wa rais samia ila huwa ana kanamna flani ka uandishi ambako kanalinda heshima,ukuu na upekee wa taasisi ya rais
 
Simple and clear, ametoa go ahead na yanayofanyika.
Mambo Kadhaa kuhusu Askofu Gwajima

1.Mtu mwenye Misimamo katika Vitu anavyoviamini

2.Mtumishi wa MUNGU kweli kweli asiebagua Watu Kwa sababu ya Itikadi zao za Kidini,kabila Elimu jinsia ukanda,vyama

3.ANA HEKIMA mnoo kwa NEEMA ya MUNGU,ya Kuwafahamu watu,majira ni Kipi kifanyike

4.Anajua majira Ya kuzungumza na Majira ya kunyamaza na Azungumze nini

5.KITU ambacho HANA ni WOGA

6.Ametengeneza Watu Wengi wa Namna Yake

7.Maswali yake Ni ngumu sana kumpatia majibu sahii

8.Ukimtega kwa maswali au Maneno utabaki mdomo wazi ukistaajabu Hekima yake

9.Usiwe mwepesi Kumjibu unaweza jikuta umejibu upumbavu mkubwa mnoo hadi watoto wadogo wakashangaa

10.Kabla hajanena wala kufanya chochote anajua kabisa nini kitatokea hivyo siku zote Haofii matokeo

11.Analipenda Taifa lake kuliko chochote, hupenda kujiita Mr Tanzania 🇹🇿

12. Amefanya Mengi na ameongea mengi,ameshauri mengi ya kuiponya nchi yetu na Kuisaidia

13.Hutokea Hasa Taifa linapokuwa kuwa katika nyakati ngumu

14.HUWEZI kumuonga Kwa Vyeo wala Mali

15.Ametumwa kwaajili ya saa na Majira haya 🇹🇿

16.Hafi leo wala Kesho Mpaka amalize Ajenda ya Kiufalme

17.Ukishindwa Kushindana naye Ungana naye tu hata kwa Unafiki kwa Sababu Huwezi Kumshinda

Kama unampenda Gwajima ongeza walao mambo matatu Mazuri kuhusu Askofu Gwajima na share Kwa wingi
#TANZANIA 🇹🇿 KWANZA mengi Yote Baadae.

C & P
 
Samia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavu
Mwambie aendelee kuua ila kumbuka karma is real
 
Back
Top Bottom