LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
hivi wanasiasa huwa wanatuona kenge tusie na akili za kubaini abrakadabra zao?Vyote vipo maigizo yapo na kumaanisha kupo pia, maanda Tanzania ya sasa mbinu za kuwahadaa wananchi ni nyingi sana, lakini mpaka hapa tulipo Gwajima ni shujaa na watanzania wengi wapo nyuma yake