Taarabu mipasho ni ushauri toka kwa Mjaku Steven Nyerere chawaccmItoshe kusema hii ni hotuba ya mtoto wa darasa la 4 B!
Gwajima Rais ataogopa kumjibu lakini chawaccm vya Akina Abas Tarimba msukukuma Jerry muro hivyo takataka ni size yakeGwajima hana dogo, Jumapili katampiga spana mpaka aseme basi! Labda kaheshimu kiti tu kwa vile ni Amiri jeshi mkuu vingine kuna kitu kingemshuka!
Katawapopoa mpaka waombepo! Ninavyokaamini lazima Bi. Mkora kamlipue kiaina! Natamani sana kamlipue tuona atakafanyake!Gwajima Rais ataogopa kumjibu lakini chawaccm vya Akina Abas Tarimba msukukuma Jerry muro hivyo takataka ni size yake
Hadija kopaTuna mzee yusuphu ikulu
Mfano Abasi Tarimba ni mwizi muuza unga anawaibia watu pesa nyingi kwenye kubeti na Jerry moro ni tapeli mwizi mbea balaaKatawapopoa mpaka waombepo!
Hovyo utakuwa wewe.., jambo la msingi ni tume irekebishwe... iwe ni huru kweli,..Haya kaeni muangalie tuu kama itasaidia.
Watanganyika hovyo kabisa.
Tanganyika iko wapi?Nyumbu zina cheka tu asee Mzanzibari aki najisi tanganyika
Naungana na wewe! Kajilipue tu tusikie RAHA ya michambo mpaka uchaguzi uishe! Naziona dalili za Gwajima kupanda jukwaani upande wa upinzani wakati wa kampeni!Sipati picha gwajima akaamua liwalo na liwe "aliamshe dude" nchi itachangamka hadi raha......
Nitaombea mapumziko yatangazwe kwa siki tatu
Tazama gwajima hili!!Yaan hatuna RAIS mule yaan chawa kama woteeee
Usimtetee Idd Amin MamaAmesema achujwe, hajasema auawe, msimuwekee maneno mdomoni
Quote
Binafsi sijawai ku fail shule..na siku zoteee nilikua naogopa kuwa RAIS wa nchi.Tazama gwajima hili!!
Angalia hawa oya oya akili pilitoni. Hawajui michezo ya kisiasa kila baada ya miaka mitano mnachongewa kinyago kipya mnakenua tu.Angalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
Hapana ..mi sifagilii mauaji na kudhuru watu...Mungu amekataza umwagaji wa damu katika ardhi....bali nimeongea ukweli mlidharau mama wa watu amehamua kuwa mkali nayeye...alitaka kuwatendea fair mkamtukanaKwa hiyo mwaka huu mtawanyosha wafuasi wa jiwe? Ni zamu kwa zamu au vipi?