PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Magwajima tuyaache
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Angalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
Mama amekubali kuwa provoked akaprovokeka.😂😂😂. Gwajimanizer ni hatari sana.Ni mbobevu wa saikolojia.Hiv Phd yake ni ya heshima au ya desertation?. Sijaona kama maswali ya Gwajiboy yamejibiwa?. Naadha ndani ya sisiemu kutakuwa na akina gwajimanizer wengi. Ametangulia Askofu
 
Hakuna mtu yeyote duniani anaweza kupangua zile hoja za Gwajiboy.

Uhalisia huwa unakupa option moja tu ambayo ni kuukubali, ukiupinga hata uwe timamu kiasi gani lazima upuyange.

Sasa hao kenge wanaosoma O level kwa miaka 20, wengine wanamaliza Drs la 7 na kufeli kisha kwenda university (na kuwa best students kwa nguvu ya dolari) lazima waharibu zaidi.
 
mimi nimeelewa hapo "Magwajima tuyawache huko nje" nimetafsiri kama maelekezo kwa kamati za uteuzi chamani kwamba wagombea kariba ya gwajima au mpina yaani wale wenye kamdomo na wanaopenda kuhoji mambo magumu na kufichua uovu wasipitishwe..kwahiyo tujiandae kwa bunge lililojaa vilaza, uchawa na mapambio zaidi ya hili la sasa.!
Yaani tunaenda kuwa na bunge la hovyo mara milioni ya hili la sasa.
 
Back
Top Bottom