Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Marehemu hasemwi! Anasifiwa! Magu alijenga Viwanda kila MkoaMagufuli alihaidi Milioni 50 kila kijiji na hakuzigawa, kwahiyo Wagombea wa CCM kutaja vitu ambavyo haliwezekani ni jadi yao.
Marehemu hasemwi! Anasifiwa! Magu alijenga Viwanda kila MkoaMagufuli alihaidi Milioni 50 kila kijiji na hakuzigawa, kwahiyo Wagombea wa CCM kutaja vitu ambavyo haliwezekani ni jadi yao.
Na hasa vikifanywa hadharani! Sijui ya Sirini yakoje!Kuna vitu vinasikitisha sana 😢
Ukisoma tamthilia ya "Kivuli kinaishi" ndio unaipata maana ya kuwa CCM, ndani ya CCM ukiambiwa mchana nawe sema mchana, ukiambiwa usiku sema usiku, ukijaribu kusema kwa kutumia akili yako ndio unageuka "mtolewa" kama walivyowahi kuwa "Maalim Seif et al" na atakavyofanywa Gwaji boy.Hivi wanaopaza sauti za kushangilia Ccm baada ya kauli za kumdhalilisha Gwajima kutolewa, wanakuwa na uwezo wa kutathimin mambo na kauli kweli.
Ama kunakuwa na agenda nyingine!
🥺🥺🥺Magwajima?!
Na zaidi kichwani hamna kitu!Kauli mbovu kabisa zinazidi kuonyesha jinsi huyu mwanamke alivyo mkatili na muuaji.
Hahaha, matani tu 😀Kwahiyo na wewe umeamua kutangaza rasmi kutafuta ambaye ni kondoo ama Chawa?Wapo wenzetu wameshafikia hayua hiyo,chamani wanaenda kuhakikisha wanaopema ni makondoo na machawa pekee,sifahamu,hiyo timu ikitangazwa kana ndiyo iliyoshinda taifa litafananaje.
Muuaji ! JPM hakumjua mapemaHuyu mama ni katili wa wazi kabisa
Hii ni hatari sana aiseeMuuaji ! JPM hakumjua mapema
Kamshika Nyash..kwa vipi kamshika pabay
Hiyo kauli haikupaswa itoke kwa rais wa nchi yaani ni kama ametia muhuri rasimi wa KIFO Cha Gwajima.
Mungu Linda watetezi wa taifa hili dhidi ya kiongozi huyu dhalimu.
Jiwe anakumbukwa na watanzania kuliko huyu Kiziwi wako..anaye poromoshewa matusi mpaka na Wakenya..mlimtukana sana kwa kumuita mpole,mara sijui awe kama magufuli acheki na kima, mara sijui mahijabu,
Acha awanyooshe muwe na heshima next time..mama wa watu alianza kuongoza nchi kwakuwa muungwana kabisa, lakini mlivyo wapuuzi mkawa mnatukana mkisaidiana na watu wa team Jiwe
Maana ingekuwa mwanaume ingekuwa amemshika kendeKichwa chako cha habari kinaleta mkanganyiko! "...kamshika pabaya....."
kuongea na mpumbavu ni hasaraKamshika Nyash..