Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Mbona kelele zinazo pigwa ni chache kulinganisha na idadi ya watu? Halafu mama kasema, tusioneane aibu....., sasa yeye anajitoaje hapo?
Nadhani ana watu wengi mbele yakeGwajima ajitoe tu ccm.
Sema Gwajima hakua na ushawishi wowote bas tu JPM alimbeba Msukuma mwenzake japo haiondoi uhalisia kamkuna Chura pabayaKwahy mpaka hapo gwajima kwaheri 😂
Ushawahi ona wapi chini ya jua mwanaume lijali anajiita yeye ni mama? We punga tu. 🖕🖕🖕🖕Ufike salama ndugu msukule.
Nimehuzunika Sana na kukosa raha Leo tumekua Kama warundi, congo, Zimbabwe, UgandaNajiuliza sipati majibu,ni nani anayeandika hotuba za rais wetu? Je huwa hafikirii mambo ya msingi ambayo anapaswa rais wetu ayazungumze kwa watu anachowaza yeye ni kumtungia hotuba ya mipasho?
Kweli kabisa huyu mtu ameaminiwa na rais wetu kutunga hotuba zake?
Nimeishia kidato cha nne lakini nikiambiwa nitunge hotuba ya kumjibu gwajima mimi kama mwandishi wa hotuba za rais wangu sitatunga mipasho kama hiyo.
Ni wakati sasa Lukas mwashambwa mamlaka ya uteuzi ktk ikulu ya rais samia imulike kote tanzania na imteue huyu kijana kuwa mwandishi wa hotuba hizo. Hata kama huyu bwana Lukas mwashambwa huwa anaandika vitu visivyoshabihiana na utendaji wa rais samia ila huwa ana kanamna flani ka uandishi ambako kanalinda heshima,ukuu na upekee wa taasisi ya rais
Haya kaeni muangalie tuu kama itasaidia.Kwa tume ya uchaguzi iliyopo ni kama kumsindikiza mshindi ..., hasa nafasi ya rais
Hadi sasa Gwajima kashinda 3:1Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Mwenyezi Mungu atuamulie UGOMVI.Hiyo namba 16 nimeipemda. Tunasemaga mbeba maono hafi kwa namna yoyote ile kama ambavyo risasi 37 hazikutoa uhai wa Lissu ila Mafua tu yakatoa uhai wa JIWE.
Jezebel anataka nchi nzima atunyee kichwani? Kwamba afanye atakavyo na asikuwepo mtu wa kuhoji?
Pumbavu.
Kitu akikiingilia Rais tayari ni dola regardless aliingia kama mwenyekiti wa chama. I guarantee you, akiendeleza ligi, hakuna rangi ataacha kuona. Hii ni kwa sababu kila mtu kwenye mamlaka atataka ajichukulie credits/ujiko kumuonesha Rais/mwenyekiti kuwa ali mshughulikia Gwajima.Gwajima hashindani na dola mkuu.
Yaan hatuna RAIS mule yaan chawa kama woteeeeNyumbu zina cheka tu asee Mzanzibari aki najisi tanganyika
Utekaji kuua watu kuwabambikia watu kesi uonevu wenu vitakosolewa kwenye vikao? Kwani huwa mnafanya matendo haramu ya kishetani kwenye vikao?Raisi Hukosolewa vikaoni sio mabarabarani
Mbunge Gwajima ana sehemu zake official za kuongelea bungeni na vikao vya chama ambavyo yeye ni mbunge sio kuongelea mabarabarani
Ana platform official.
Raisi kamwelezea wazi anacheza ngoma isiyo yake ya kiti chake official
Binafsi naona anacheza ngoma ya akina Martha Karua,Mwangi na akina CHADEMA nk
Hiyo press conference hakuuitisha kwa bahati mbaya yuko ngomani kwa akina Martha Karua yeye akiwa mpiga ngoma yao Tanzania
ccm ya sasa imejaa ibirisi watupu ni ccm ya hovyo haijapata kutokeaKwa maana hiyo Gwajima ni Yuda Escariot!? Walikubakiana yeye katoa siri Nje!
Gwajima amewasaliti, walitaka wafanye kimya kimya,yeye kaanika juani! Gwajima ni Yuda Escariot wa ccm ,hahahaha,
Kwetu Sisi Gwajima ni shujaa, anataka usalama wetu, anataka kujua kwanini watu wanaotekwa na hakuna hatua zinazo chukuliwa!? Mpaka atekwe nani NDIO watastuka!?
Nadhani wasio julikana sasa tayari code umepatikana, ikifungua utawajua!
Hakuna wa kupambana na mwenyekiti wa CCM nchi hii. Cha muhimu hapo Gwajima ajikatae zake na ku-focus na ishu za ufufuo.Na Gwajima ninayemfahamu, labda!
Ngoja tuone kama hii vita mama ataishinda