PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wanaochuja Wagombea wa uchaguzi watende haki na wapime kwa umakini na kuangalia wale wanaofaa ili kuepuka kupitisha Wagombea ambao wanakosa sifa na kuendana na yale ambayo CCM inayataka.

Akiongea wakati wa kufunga Mkutano Mkuu leo May 30,2025, Rais Samia amesema “Niwaombe au sijui niagize vikao vinavyokwenda kuchuja Wagombea wakatende haki, wakatende haki, anayefaa aambiwe anafaa, asiyefaa tuseme huyu ana kasoro mbili tatu hatufai kwa huko mbele tunakokwenda, tukitoa mwanya Ndugu zangu, tukipitisha wanaotafuta tu na Mie niwemo ndio tunapata wale wanaokwenda huko, Chama kinakuwa Gwajimanize”

“Kwahiyo kwa vyovyote tusigwajimanize Chama chetu Magwajima tuyaache nje, hamna kuoneana aibu wala aya”

“Unajua kule Zanzibar kuna Mtu aliimba mcheza ngoma sio yake lazima ataharibu, akasema hawi sawa na wenzake anakuwa Majuzubu, Majuzubu ni Mtu ambaye hazimo hazimo hivi, kwahiyo ukicheza ngoma sio yako utaharibu na utajulikana lazima utasema Mimi sie jaman ndio haya yanayotoke, kwahiyo twendeni tukachuje kwa ustadi mkubwa”
#MillardAyoUPDATES
 
Mi najiuliza si kwamba mama anafanya manipulation watu wajae? Kama ndo jibu lake halisi basi mama kajaa kwenye mfumo
 
Hii ndiyo kauli ya kufungia mkutano. Tuwakatae magwajima. Sikiliza kituko cha mwaka huu 2025 hii clip
wakati jack swigert anarudi duniani kwa kutumia chombo cha appollo 13, during re-entry alisikika akisema “huston we have a problem”, akitoa ujumbe kulikuwa kuna tatizo kwenye chombo chake

Today baada ya statement ya kiongoz. Leo tutasema “Dodoma we have problem”, mamlaka zina shida mahali
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-30-19-07-45-191.jpg
    Screenshot_2025-05-30-19-07-45-191.jpg
    312.9 KB · Views: 14
  • Screenshot_2025-05-30-19-08-41-605.jpg
    Screenshot_2025-05-30-19-08-41-605.jpg
    375.5 KB · Views: 14
Kuna haja ya kuanza kuwachukulia serious wateuliwa wa nafasi ya mgombea mwenza wa urais

Haya mambo ya kuokoteza tu sijui ku balance gender au ubara na uzanzibari yanatu cost sana

Huyu kiumbe hana haiba ya urais, wala hakua tayari kwa nafasi hii
Ni dondokela tu imemuangulkia
 
Hiyo kauli haikupaswa itoke kwa rais wa nchi yaani ni kama ametia muhuri rasimi wa KIFO Cha Gwajima.
Mungu Linda watetezi wa taifa hili dhidi ya kiongozi huyu dhalimu.
Kifo cha namna gani? We unaona Kuna mtu ana uwezo wa kumuua Gwajima? Hako kabibi menopause inamsumbua tu hana lolote.
 
huu ni uthibitisho kuwa yeye ndiye anayewatuma watu watekwe, wateswe na kuuawa! ndiye!!!!!!!
 
Back
Top Bottom