Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
andika uzi mahususi gentleman kuhusu hilo 🐒Thibitisha uwepo wa Mungu
andika uzi mahususi gentleman kuhusu hilo 🐒Thibitisha uwepo wa Mungu
CCM wameamua kumalizana na Gwajiboy kimya kimya. Jimbo hana. Ila mama kimemkaa kooni mpaka akatoa ya moyoni. Mama tutunzie siri khaaa🤣🤣🤣🤣.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Nyuzi zipo nyingi mno huku, tafuta.andika uzi mahususi gentleman kuhusu hilo 🐒
Ni dhahiri yeye ndiye anayebariki uovu.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
hata Mimi nasubiria kam bakiI knew it .. HE wont let it passby without hitting back
Majzum sio majnuuniMajnuuni siyo majzum
Sisi Wazee tuna Msemo wetu.... "Mtaka Nyingi Nasaba, hupata Mwingi Msiba!"Hulka ya pwani ni mipasho.. Ila usichokoze visivyochokozeka..!
Samia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavuAngalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
😀😀acheni mama aokote okote na yeye acheni wivu
AiseeKarusha Jiwe gizani Gwajima