Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwaamini sana CCMTulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Jamani linapokuja suala la Mtanzania kupoteza maisha kikatili msilete mambo ya mzaha, awe CCM,CHADEMA,TLP, MASKINI, TAJIRI n.kWe zee jinga kweli kweli. Hujui kitu fala we, we baki ukimkatia viuno mbowe anapopita kwenye ziara zake za kuhamasisha ukusanyaji wa mapato yake.
Usiwaamini sana CCMTulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote

Enough Is Enough badala ya kuogopa majambazi watu wanaogopa watekaji kweli! Hii hapana mama,Amir jeshi yako siyo ceremonial ni ya u commandant wa kudhibiti vyombo hivi.Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi,badala ya hofu ya majambazi hofu sada ni vyombo vya dola ?
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Kuna ukweli hapa alichukue na kulitizama.Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Na ilijulikana na Mungu akaamua kesi. Na hii nayo ni hivyo hiyo?Usiwaamini sana CCMView attachment 3090899
🗑🚮🗑🚮 🚮3. Viongozi wa vyama vya siasa waliopoteza dira na Sasa wanataka kurudi kwenye chati. Hawa wanaweza kutengeneza michezo ya kutekana kwani hata huko nyuma Kuna watu kama kina Chacha Wangwe haijaeleweka Hadi Leo waliondoka vipi?!!
Hakuna anayemhujum anajihujumu mwenyeweTulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
UJINGA TU. ANAHUJUMIWAJE? RAIS ANAHUJUMIWA? HUONI UNATAKA KUONESHA YEYE NI DHAIFU? IS SHE WEAK?Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Duh, inatisha sana.hawa jamaa wamepewa pesa nyingi sana na waarabu. Wanamtisha mpaka Mungu Kuwa hawezi kuwafanya chochote zaidi ya wao kukaa madarakani kwa lazima na sio Mungu akipenda. Yale mambo ya kusema watawala wanawekwa na Mungu kwao hayapo.
Watu wasiomuogopa Mungu hata kidogo ni hatari sana. Hawana tofauti na Majambazi . Bora hata magaidi mana yanajinasibu Kuwa yanatetea haki lakini hawa ni kama majambazi yanapora na kuua alimradi yaibe na kupata pesa na mali.
Kuna wale wahafidhina ndani ya CCM na Serikali ambao tangu awali hawakuta Samia awe Rais ndiyo hao wanafanya hizi fujo zote ili mambo yaharibike kabisa katika Urais wake ili aidha asusue asiweke nia yakugombea tena au ionekane kuwa hafai kugombea tena.Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Chadema ni chama cha kihuni tu kimejaa wasanii hamna watu pale.2020 kuna mapolisi walitangaza Nia ya kugombea ubunge kule Singida kupitia CCM. Katiba inakataza polisi kuingia kwenye siasa . Cha ajabu bado wapo kazini na wanapandishwa vyeo
Polisi alijitangaza kama kada wa CCM ni dhahiri kuwa ataua kila asiye mwana CCM.
Mwishowe watauana wenyewe kwa wenyewe kwa kutuhumiana Kuwa ni ama wapinzani au kwa kuua ndugu wa polisi au mwanajeshi kama ilivyotokea wakati fulani kule Kenya,pale askari wa kabila la Wakikuyu walipokua wanawaua kwa makusudi wajaluo waliokua wanaandamana kupinga ushindi wa Mwai Kibaki.
Lakini pia ilikua ni kosa kubwa sana kumweka Wambura,Kingai na Awadhi kuongoza Jeshi la Polisi. Hao Watu hawana mbinu zaidi ya kuua na kutesa.
Chadema wanakosa mbinu kwa sababu walishindwa mapema kusimama na wananchi waliopoteza ndugu zao kama akina Akwilini , Mwangosi,Alfonsi Mawazo na wengine wengi kule Arusha.
Mfano Wanapopotea Watu ni vyema Chadema ikahamasisha wanachama mikoa yote na wilaya ili kukusanya michango ya Rambirambi na kuikabidhi kwa familia .
Watu wengi wanaogopa kujitokeza kwa sababu hakuna faidi yoyote lakini Fedha zikiwa zinatolewa kuwafariji ndugu na kulea watoto itakua ni mwanzo mzuri wa kujenga ujasiri kwa vijana kupigania haki. Hata hao wauaji wanaofadhiliwa na CCM wanafanya unyama huo kwa sababu ya pesa na madaraka . Hao wauaji wengi ni mabilionea mana wakati mwingine wanawalazimisha mateka kutoa pesa zote benki .
Uchaguzi huu unaokuja ni vyema wapinzani kama hawawezi kuwadhibiti wauaji na waporaji wa CCM basi waachane nao. Waamue kufanya maandamano makubwa siku zote za uchaguzi na kuhakikisha nchi nzima uchaguzi haufanyiki mpaka katiba mpya ipatikane hata kama ni 2027 basi uchaguzi ufanyike 2028.
Vinginevyo pesa za waarabu ni nyingi sana na zitawaua wapinzani wote. Bora JPM mana hakuwa na pesa za kutoka nje kwa waarabu wanaofadhili maugaidi wakishirikiana na Marekani.
Na kwa sasa kuna kuua kwa mgongo wa kisiasa lakini nyuma yake kuonekana kuna utanganyika ,uzanzibar ,Udini na uchama cha mapinduzi na kuhujumiana .
Siamini kama polisi peke yao wanaweza kuua watu mchana kweupe halafu usalama wa Taifa na JWTZ wasiwaone na kumpa Taarifa raisi Kuwa polisi wanaua watu.
Kwanza Polisi ni waoga na wanachukiwa na Taasisi nyingine na pia majeshi mengine ikiwemo TISS.
Lakini pia inaonekana kuna chuki ilijijenga kwa Wazanzibari wakati ule wa Mauaji kule pemba . Waliofanya mauaji kule Zanzibaaa walikua ni Wa kutoka bara na waliyafanya mauaji mchana kweupe dhidi ya Wanachama wa CUF ikituhumiwa Kuwa ni chama cha kidini.
Sasa kibao kimegeuka . Hawataki wetu wa pwani wajiunge na Chadema .
Tafakarini mtaelewa tu.
Kama Chadema hamutaweza kudhibiti hujuma na kuuawa na CCM achaneni na uchaguzi . Mtauawa wote hawa jamaa wamepewa pesa nyingi sana na waarabu. Wanamtisha mpaka Mungu Kuwa hawezi kuwafanya chochote zaidi ya wao kukaa madarakani kwa lazima na sio Mungu akipenda. Yale mambo ya kusema watawala wanawekwa na Mungu kwao hayapo.
Watu wasiomuogopa Mungu hata kidogo ni hatari sana. Hawana tofauti na Majambazi . Bora hata magaidi mana yanajinasibu Kuwa yanatetea haki lakini hawa ni kama majambazi yanapora na kuua alimradi yaibe na kupata pesa na mali.
Kwanini mtawala ahisiwe kuwa anaua watu?.Hakuna kitu watanzania hawapendi kama mtawala anaedhaniwa kwamba anauwa watu.
Hao jamaa wanaoteka na kuuwa watu wanaharibu sana image ya Rais...
Tume zitakuwa ngapi myfriend ulishawahi Kuona tume ikija na suluhisho?
Sio tume za tz kaka.Tume zina suluhu kubwa sana ndio maana wanaziogoa.
Tume zitaweka wazi kila kitu na Watu watahojiwa. Mpaka familia zilizopotea Watu zitajulikana . Kumbukumbu zitaandikwa na ni rahisi kujua nani hahusiki na nani anahusika.
Hivi kwa mfano unafikiri kubwa ni rahisi mtu kwenda polisi kutoa ushahidi wa kuona tukio na wahusika . Kwa mfano inasemekana kuna askari wa trafiki alikua ndani ya basi ,Je, huyu anaweza akaeleza ukweli utakaowaanika wauaji endapo watakua ni askari polisi.
Tume ya kijaji inaweza inafuatilia mpaka kwenye mitandao ya simu . Hakua polisi mwenye mamlaka kumhoji hata waziri achilia mbali mkuu wa wilaya au hata Mwenyekiti wa UVCCM. Lakini majaji wanamhoji Mtu yeyote wakiunganisha na ushahidi utakaotolewa.