FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
ila tuongee ukweli, katika mazingira haya, atatoa wapi legitimacy ya kugombea tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mmeamua kuwaua tu mana ni wahuni ?Chadema ni chama cha kihuni tu kimejaa wasanii hamna watu pale.
Daah, hopefully you won’t become a statistic mzeeNaunga mkono hoja
P
Sio tume za tz kaka.
Tume inajaa chawa tupu unatarajia nini
Namba 4 haina haja, haina la kusaidia haina lolote chochote vinginevyo umeshauri vema sanaTulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone wao ndiyo tegemezi
Ushauri wangu
1. Ukigundua uzembe na hujuma ndani ya usalama waseme wazi badala ya kubadilisha kwa sirisiri
2. Usalama na Polisi wasijihusishe na siasa kama katiba inavyo sema
3. Wahujumu ndani ya CCM watajwe wazi
4. Tume huru ipewe uhuru na katiba iendelee kwa asilimia 100% woga wako una cost taifa
5. Usionee huruma rushwa ya aina yeyote
Hakuna vitisho hapo. Polisi wanatekeleza maagizo kutoka juu kupitia kwa Makonda. Kasomeni kwenye akaunti ya Mange KimambiKumbe Raisi anaweza kutisha tu kama mm.Anajua anacho kifanya/ kinacho endelea.
All the best
Nina wasi wasi na wale wazee wastaafu walikua jeshini alafu Mmoja alikua makamu Mwingine mtoto wake aliwekwa kando.Lakini mda mwingine nakataa baada ya kubadilishwa mkurungezi wa Usalama baada ya kutoka Siwa naona kama Utekaji umeshamili sanaHakuna kitu watanzania hawapendi kama mtawala anaedhaniwa kwamba anauwa watu.
Hao jamaa wanaoteka na kuuwa watu wanaharibu sana image ya Rais...
Raisi aji hunguze ??Rais Angejitokeza tu na kuunda tume huru ya kuchunguza Haya mauaji baada ya kuwaweka kando RPC Mulilo na RCO wake ,DCI ,Kamishina wa Oparation na IGP.
NA PIA MALI ZAO Zichunguzwe MANA HUU NI UJAMBAZI SIO KAZI YA KUKAMATA
Tume itakuwa tiba sahihi ya mauaji haya na utekaji.Tume zina suluhu kubwa sana ndio maana wanaziogoa.
Tume zitaweka wazi kila kitu na Watu watahojiwa. Mpaka familia zilizopotea Watu zitajulikana . Kumbukumbu zitaandikwa na ni rahisi kujua nani hahusiki na nani anahusika.
Hivi kwa mfano unafikiri kubwa ni rahisi mtu kwenda polisi kutoa ushahidi wa kuona tukio na wahusika . Kwa mfano inasemekana kuna askari wa trafiki alikua ndani ya basi ,Je, huyu anaweza akaeleza ukweli utakaowaanika wauaji endapo watakua ni askari polisi.
Tume ya kijaji inaweza inafuatilia mpaka kwenye mitandao ya simu . Hakua polisi mwenye mamlaka kumhoji hata waziri achilia mbali mkuu wa wilaya au hata Mwenyekiti wa UVCCM. Lakini majaji wanamhoji Mtu yeyote wakiunganisha na ushahidi utakaotolewa.
Labda atagombania 😂😂😂😂ila tuongee ukweli, katika mazingira haya, atatoa wapi legitimacy ya kugombea tena?