Rais Samia tusikilize vizuri tena, unahujumiwa...

Nasikitika kusema kwamba hayo ulioshauri yote hayatekelezeki kwa manufaa ya mtu fidenge.
 
Usiwaamini sana CCM
 
..tatizo letu Watz ni kuumauma maneno.

..nchi hii kama jambo halimpendezi RAISI huwa linakomeshwa mara moja.

..utekaji, na utekaji ungekuwa hauna baraka za Raisi ungeshughulikiwa kwa nguvu na kwa haraka.

..mimi natofautiana na wewe kwamba yanayotokea hayamhusu Samia, na ni hujuma dhidi yake.
 
Mbowe
Salum mwalimu hawa sio wapinzani
Mtakuja kujua siku nyingine.
 
We zee jinga kweli kweli. Hujui kitu fala we, we baki ukimkatia viuno mbowe anapopita kwenye ziara zake za kuhamasisha ukusanyaji wa mapato yake.
Jamani linapokuja suala la Mtanzania kupoteza maisha kikatili msilete mambo ya mzaha, awe CCM,CHADEMA,TLP, MASKINI, TAJIRI n.k
Watu wanataka majibu ya nini kinatokea, wauwaji wako wapi..mtu yoyote kama anahusika akamatwe - yoyote.
Pili serikali lazima ilaumiwe sababu wao ndo wamepewa dhamana ya kulinda watu na mali zao...nchi hii hakuna mwenye uthubutu wa kumchukua mtu mbele ya watu na kwenda kumuua kirahisi hivyo....labda kama anaprotection kiasi chake - mtu wa kawaida huwezi toboa. Ukitaka kufanya experiment fanya...fanya kitu chochote cha ajabu kisiri uone kama utatoboa.
Lazima serikali inyooshewe mikono..ni wajibu wao
 
Usiwaamini sana CCM
 
Enough Is Enough badala ya kuogopa majambazi watu wanaogopa watekaji kweli! Hii hapana mama,Amir jeshi yako siyo ceremonial ni ya u commandant wa kudhibiti vyombo hivi.
 
Kuna ukweli hapa alichukue na kulitizama.
 
3. Viongozi wa vyama vya siasa waliopoteza dira na Sasa wanataka kurudi kwenye chati. Hawa wanaweza kutengeneza michezo ya kutekana kwani hata huko nyuma Kuna watu kama kina Chacha Wangwe haijaeleweka Hadi Leo waliondoka vipi?!!
🗑🚮🗑🚮 🚮
SATIVA alitekwa na viongozi gani wa vyama vya siasa?!!!
 
Hakuna anayemhujum anajihujumu mwenyewe
 
UJINGA TU. ANAHUJUMIWAJE? RAIS ANAHUJUMIWA? HUONI UNATAKA KUONESHA YEYE NI DHAIFU? IS SHE WEAK?
 
Duh, inatisha sana.
Ccm kimekuwa chama cha ajabu sana
 
Kuna wale wahafidhina ndani ya CCM na Serikali ambao tangu awali hawakuta Samia awe Rais ndiyo hao wanafanya hizi fujo zote ili mambo yaharibike kabisa katika Urais wake ili aidha asusue asiweke nia yakugombea tena au ionekane kuwa hafai kugombea tena.
 
Chadema ni chama cha kihuni tu kimejaa wasanii hamna watu pale.
 
Kuna kikundi cha watu kimechoshwa na amani iliyopo na kinafanya juu chini kuchokoza watu ili wachafukwe waanze mapambano.
Hii ndiyo matokeo ya waabudu shetani kuongezeka kwenye nchi sasa wanatafuta damu ya sadaka ya watanzania.

Waabudu shetani ndio hao wanaunga mkono mabaya yote yakifanywa kwa ridhaa ya chama.Wao wana uwezo wa kuishi nje ya nchi na ibilisi atawalipa akinywa damu za watanzania.
Watu wa Mungu wa kweli tuombe,Mungu hajawahi kushindwa.Yeyote aliye nyuma ya huu ushetani Mungu atamwadhibu.Tunao ushahidi wa Mungu wetu alivyotutetea
 
Hakuna kitu watanzania hawapendi kama mtawala anaedhaniwa kwamba anauwa watu.

Hao jamaa wanaoteka na kuuwa watu wanaharibu sana image ya Rais...
Kwanini mtawala ahisiwe kuwa anaua watu?.

Miaka ya nyuma hapakuwa na mawazo yenye kuunganisha unyama unaofanyika kwenye jamii na uwepo wa rais fulani pale ikulu.

Ni chuki za kisiasa kuunganisha mauaji na maamuzi ya rais ya kuruhusu mauaji yafanyike, ni demokrasia ya siasa za vyama vingi na madhara yake ndani ya akili zetu.
 
Tume zitakuwa ngapi myfriend ulishawahi Kuona tume ikija na suluhisho?


Tume zina suluhu kubwa sana ndio maana wanaziogoa.

Tume zitaweka wazi kila kitu na Watu watahojiwa. Mpaka familia zilizopotea Watu zitajulikana . Kumbukumbu zitaandikwa na ni rahisi kujua nani hahusiki na nani anahusika.


Hivi kwa mfano unafikiri kubwa ni rahisi mtu kwenda polisi kutoa ushahidi wa kuona tukio na wahusika . Kwa mfano inasemekana kuna askari wa trafiki alikua ndani ya basi ,Je, huyu anaweza akaeleza ukweli utakaowaanika wauaji endapo watakua ni askari polisi.

Tume ya kijaji inaweza inafuatilia mpaka kwenye mitandao ya simu . Hakua polisi mwenye mamlaka kumhoji hata waziri achilia mbali mkuu wa wilaya au hata Mwenyekiti wa UVCCM. Lakini majaji wanamhoji Mtu yeyote wakiunganisha na ushahidi utakaotolewa.
 
Sio tume za tz kaka.
Tume inajaa chawa tupu unatarajia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…