Rais Samia tusikilize vizuri tena, unahujumiwa...

ila tuongee ukweli, katika mazingira haya, atatoa wapi legitimacy ya kugombea tena?
 
Chadema ni chama cha kihuni tu kimejaa wasanii hamna watu pale.
Kwa hiyo mmeamua kuwaua tu mana ni wahuni ?

Aisee mna bahati kila chama kina Watu waoga na wasiojua umuhimu na uhalali wa kisasi .

Kisasi ni tiba na haki.
Ukiua mtu asiye na hatia unatakiwa uuawe . Ukiua mtoto wa mtu wa kwako naye anapaswa kuuawa . Shingo kwa shingo ,jino kwa jina ,uhai. Hii ndiyo haki kwa waovu.

Matamko ya CCM ni ya kuua.
Ni bora wahuni kuliko wauaji CCM .
Chama cha Mapinduzi kinatumalizia Ndugu zetu kwa uchu wa madaraka.
Kisasi kitaleta haki mana kilio kitawafikia mpaka CCM na watoto wao na makada wao.

Hukumu ya haki ni lazima umfikie kila aliyehusika .

Walishindwa kwa mikono yao basi waende kwa Waganga wenye uwezo wa kulipiza kisasi alimradi ni kwa haki.
Unatenga mil. tatu unaondoa familia zao kimazingara kuanzia babu mpaka mjukuu. Fyekelea mbali
 
Unamaanisha una mashaka na uwezo wa unayedai anayehujumiwa kuchukua hatua?

Mamlaka yote yapo kwake, nani wa kumhujumu?
 
Nimeshaikataa dhana ya samia kuhujumiwa siamini kama mambo haya yanayotekea hayajulikani na inner cycle ambayo hata yeye yumo
 
Namba 4 haina haja, haina la kusaidia haina lolote chochote vinginevyo umeshauri vema sana


Halafu si mlimsingizia Magufuli, sasa keshaondoka na haya bado yapo mnamsingizia huyu wa sasa ili tuwaeleweje
 
Kumbe Raisi anaweza kutisha tu kama mm.Anajua anacho kifanya/ kinacho endelea.
All the best
Hakuna vitisho hapo. Polisi wanatekeleza maagizo kutoka juu kupitia kwa Makonda. Kasomeni kwenye akaunti ya Mange Kimambi
 
Hakuna kitu watanzania hawapendi kama mtawala anaedhaniwa kwamba anauwa watu.

Hao jamaa wanaoteka na kuuwa watu wanaharibu sana image ya Rais...
Nina wasi wasi na wale wazee wastaafu walikua jeshini alafu Mmoja alikua makamu Mwingine mtoto wake aliwekwa kando.Lakini mda mwingine nakataa baada ya kubadilishwa mkurungezi wa Usalama baada ya kutoka Siwa naona kama Utekaji umeshamili sana
 
Rais Angejitokeza tu na kuunda tume huru ya kuchunguza Haya mauaji baada ya kuwaweka kando RPC Mulilo na RCO wake ,DCI ,Kamishina wa Oparation na IGP.

NA PIA MALI ZAO Zichunguzwe MANA HUU NI UJAMBAZI SIO KAZI YA KUKAMATA
Raisi aji hunguze ??
nyie mna akili kweli au mmekariri
 
Tume itakuwa tiba sahihi ya mauaji haya na utekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…