Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa ujumla kudumisha amani na usalama ili kuchochea maendeleo
"Niwatake tulinde tunu hizi, tusikubali kushawishiwa au kutumika na watu wasiotakia mema nchi yetu, wawe ni wa ndani au kutoka nje ya nchi. Tukivuruga amani na usalama wa nchi yetu, maendeleo hayo tunayoyataka hayatashamiri na hayatakuwa na maana"-Amesema Rais Samia
Akizungumza leo Julai 20, 2026 mkoani Kigoma mara baada ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma, amewasisitiza wananchi kuweka kipaumbele amani na usalama wa nchi."Niwatake tulinde tunu hizi, tusikubali kushawishiwa au kutumika na watu wasiotakia mema nchi yetu, wawe ni wa ndani au kutoka nje ya nchi. Tukivuruga amani na usalama wa nchi yetu, maendeleo hayo tunayoyataka hayatashamiri na hayatakuwa na maana"-Amesema Rais Samia
