Rais Samia: Tusikubali kutumika na watu wasioitakia mema nchi yetu, tuepeuke kuwa wasaliti na maadui wa nchi yetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa ujumla kudumisha amani na usalama ili kuchochea maendeleo
​
Akizungumza leo Julai 20, 2026 mkoani Kigoma mara baada ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma, amewasisitiza wananchi kuweka kipaumbele amani na usalama wa nchi.

"Niwatake tulinde tunu hizi, tusikubali kushawishiwa au kutumika na watu wasiotakia mema nchi yetu, wawe ni wa ndani au kutoka nje ya nchi. Tukivuruga amani na usalama wa nchi yetu, maendeleo hayo tunayoyataka hayatashamiri na hayatakuwa na maana"-Amesema Rais Samia

Maadui wa wananchi ni ccm na serikali yake full stop. Mmeua watu ili mbali madarakani,ufisadi mkubwa( ununuzi wa mafuta kwa bei za kifisadi tofauti na nchi nyingine ambazo zinanunua mafuta na kupitisha kwenye bandari yetu na bado kwao fuel ni bei rahisi) utekaji.n.k
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Kwani amani inaweza kuwepo bila haki? Anzia nyumbani kwako au kwenu ndiyo ujibu
Huwezi kujadili haki wakati watu wananyongana
-huwezi kujadili haki wakati wa vita...

Ndiyo maana vita yoyote au malumbano yoyotd yanapotokea, kinachofuatia ni makubaliano ya kusitisha vita/mvutano ili hitaji (haki) la kila mmoja lisikilizwe

Sasa sijui hi dhana ya haki kutangulia kuliko amani inatoka wapi au ni huko tecdema.
 
Kwani amani inaweza kuwepo bila haki? Anzia nyumbani kwako au kwenu ndiyo ujibu
Huwezi kujadili haki wakati watu wananyongana
-huwezi kujadili haki wakati wa vita...

Ndiyo maana vita yoyote au malumbano yoyote yanapotokea, kinachofuatia ni makubaliano ya kusitisha vita/mvutano ili hitaji (haki) la kila mmoja lisikilizwe

Sasa sijui hi dhana ya haki kutangulia kuliko amani inatoka wapi au ni huko tecdema.
 
Hata mama ukweli anaujua sema ana jikaza tu.
Ni hivi kiufupi mama umepoteza ushawishi ni kama watu Wana jisemea moyoni."si muda ufike aende"
Ni ngumu kusahau October 29
Mliyataka wenyewe

Ulidhani zile risasi ni za kuigizia?

Nyumbu akiambiwa rudi porini akakaidi, kazi yake ni kuliwa
 
Maadui wa wananchi ni ccm na serikali yake full stop. Mmeua watu ili mbali madarakani,ufisadi mkubwa( ununuzi wa mafuta kwa bei za kifisadi tofauti na nchi nyingine ambazo zinanunua mafuta na kupitisha kwenye bandari yetu na bado kwao fuel ni bei rahisi) utekaji.n.k
Tanzania kuna majinga mengi sana
Ccm ndo inapandisha bei za mafuta? Hujui kinachoendelea huko kwa wazalishaji?

Unadai utekaji, mbona wewe haujatekwa au kufirwa? Ni vigumu sana kuwaamini tecdema na nyumbu zote!
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.

Kwanza watulipe wao fidia ya Utumwa kabla wao kutupangia sisi jinsi ya kulipana fidia👈

Africa inawadai fidia lkn wanakwepa
kulipa‼️

Wao nisehemu ya mipango miovu kwa nchi yetu 👈

Vip leo watupangie kuwalipa fidia wale wale waliokuwa kwenye mipango ya pamoja ya kupindua Nchi ‼️

Waweke vikwazo tu sisi tunawatambua Wazungu !!

kama Wenye laana ya Mungu baada nchi zao kuunga mkono Ushoga Duniani✍️
 
Kwani hakunaga vitu vingine vya kuongezea?! Kila siku msidanganyike. Aya ndio washadanganyika Sasa
Uwezo wa kung’amua vingine anao?

Amejizungushia majizi tupu, kwenye mbio zake za wa mwisho ndio mshindi.
 
Ungetumia akili kidogo.
Unajua Kuna watoto na wamama waliuliwa tarehe 30 na 31?
Na wengine waliuliwa wakiwa kwenye nyumba zao unajua hilo?
Nini kilipelekea kufuatwa nyumbani?

Unajua maana ya kutuliza au kudhibiti vurugu za mapinduzi?

Hayo ndo madhara ya vurugu? Hayo ndo matokeo ya kuwatanguliza watoto na akina mama mbele ya vurugu wakati nyie mpo bize na kutumiana picha za cnn mitandaoni

halafu unaniambia nitumie akili kukujibu wakati unayetaka kujibiwa kwa akili hauna akili!
 
Wewe unaonekana watu 'walishakupitia' niwekee hapa basi picha ya hipoppotumus jike akiwa na watoto wake
 
Nini kilipelekea kufuatwa nyumbani?

Unajua maana ya kutuliza au kudhibiti vurugu za mapinduzi?

Hayo ndo madhara ya vurugu? Hayo ndo matokeo ya kuwatanguliza watoto na akina mama mbele ya vurugu wakati nyie mpo bize na kutumiana picha za cnn mitandaoni

halafu unaniambia nitumie akili kukujibu wakati unayetaka kujibiwa kwa akili hauna akili!
Na Ali Kibao alikuwa anataka kufanya mapinduzi, Mdude? Yule dogo aliyechoma picha aliyeichora mwenyewe? Before 29 Oct Watanzania zaidi ya 100 walitekwa na kuuawa kikatili na wao walitaka kufanya mapinduzi..?
 
Toa uthibitisho wa waliowaua au kuwateka!
Bila vithibitisho hzo ni love story zinazohusu hao uliowataja!
 
Back
Top Bottom