Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

Mnaanza kulegea taratibu, mudaunakuja mtarudi kwenye akikizenu za kupingakilakitu atakacho fanya mama.

Sasaivi endeleeni kuwa wapiga ramli wa kutafsiri manenoyake.
 
Bagonza ndio wa kiroho sio?
 
Bagonza ndio wa kiroho sio
 
Mashoga kama kina gwaj na bachiru mmeipata hiyo?
 
clip please
 
Hata Polepole na Bashiru hawako sawa ila ni kitu kimoja, tutaelewana tu taratibu taratibu.
 
Hata Polepole na Bashiru hawako sawa ila ni kitu kimoja, tutaelewana tu taratibu taratibu.
kwani hawa ni marais? hawa ni machawa wa jiwe, so wanakuwa kma jiwe anavyopenda wawe ila wakiwa free ndio utaona tofauti zao
 
Strictly yale mazuri tu. Mabaya na maovu tutayaacha na kuleta mema mapya
 
Kuna watu hasa makada wa chama tawala sijui kwa nini hukwazwa sana na maneno "KUIMARISHWA KWA HAKI, USAWA & DEMOKRASIA". Bila shaka wamezoea vya kunyonga kwa hiyo basi vya kuchinja inakuwa ni mtihani mgumu sana kwao.
Hata mimi sielewi. Nchi hii tuna watu wenye roho mbaya sana.
 
kwani hawa ni marais? hawa ni machawa wa jiwe, so wanakuwa kma jiwe anavyopenda wawe ila wakiwa free ndio utaona tofauti zao
Ndio mama kasema yeye na jiwe ni kitu kimoja ila wewe unampinga hadi yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…