Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

Mnaanza kulegea taratibu, mudaunakuja mtarudi kwenye akikizenu za kupingakilakitu atakacho fanya mama.

Sasaivi endeleeni kuwa wapiga ramli wa kutafsiri manenoyake.
 
Mkuu Kama kusoma hujui ,atakuangalia picha unashindwa, ilo kongamano limeandaliwa kimkakati, na kiroho lipo kundi flani nyuma ya kongamano sema tu watu wanashindwa soma mchezo, huyo Konk wako anasema mwendazake katuacha wamoja, how, kusaka vyeo ,yeye kutokana na kauli zake vipi tukisema anatimika tu , so KWA watu wenye macho ya kiroho hawezi kuteka fikra zetu , atawateka watu wa aina yako
Bagonza ndio wa kiroho sio?
 
Bagonza ndio wa kiroho sio
 
Mashoga kama kina gwaj na bachiru mmeipata hiyo?
 
Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?

Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.

Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
clip please
 
wametoka wote CCM ila hawawezi kuwa kitu kimoja, Mwinyi hakuwa sawa na Nyerere, Magufuli hakuwa sawa na Kikwete, Mkapa hakuwa sawa na Mwinyi. na kaonyesha mtazamo tofauti kuhusu sera za mambo ya nje, kodi, uwekezaji na hata Coviid na pia katamka hataki kufananishwa na Magufuli
Hata Polepole na Bashiru hawako sawa ila ni kitu kimoja, tutaelewana tu taratibu taratibu.
 
Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo?

Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataboresha haki, amani na demokrasia.

Wewe unayezuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani ole wako.
Strictly yale mazuri tu. Mabaya na maovu tutayaacha na kuleta mema mapya
 
Kuna watu hasa makada wa chama tawala sijui kwa nini hukwazwa sana na maneno "KUIMARISHWA KWA HAKI, USAWA & DEMOKRASIA". Bila shaka wamezoea vya kunyonga kwa hiyo basi vya kuchinja inakuwa ni mtihani mgumu sana kwao.
Hata mimi sielewi. Nchi hii tuna watu wenye roho mbaya sana.
 
kwani hawa ni marais? hawa ni machawa wa jiwe, so wanakuwa kma jiwe anavyopenda wawe ila wakiwa free ndio utaona tofauti zao
Ndio mama kasema yeye na jiwe ni kitu kimoja ila wewe unampinga hadi yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom