PostGE2025 Rais Samia: Tutagharamia matibabu ya majeruhi ya Oktoba 29. Wafanyabiashara tutaangalia namna 'tutawafariji'

PostGE2025 Rais Samia: Tutagharamia matibabu ya majeruhi ya Oktoba 29. Wafanyabiashara tutaangalia namna 'tutawafariji'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam

 
Atawafufua
Hallelujah
209b2fb5-dced-4762-b782-987894d00d91.jpeg
 
Wafanyabiashara wanna thamani kubwa kuliko
Marehemu waliouliwa bila hatia
Kuliko wajane waliochwa na ukiwa
Kuliko Yatima waliozimishwa ndoto zao
Kuliko ndugu jamaa na walezi waliokuwa bread winner wa familia

But kubwa kuliko yote! Vipi waliohusika na mauaji? Watachukuliwa hatua gani?
Ukisikia kukwepa uwajibikaji ndio huku
 
Kulikuwa na sababu gani kutumia risasi za moto badala ya kutumia maji washa, risasi za mpira, virungu, n.k.

Kwamba kila mtu akianza kudai haki yake step ya kwanza ni kuua ?
unatumia maji kwa mtu anachoma kitua cha mwendokasi, mtu anaiba dukani kisha anachoma huyo ni wa maji ? HAO WALISTAHILI MABOMU NA MA GRRENADES KABISA SIO RISASI TU
 
Back
Top Bottom