Wafabiashara muhimu sana sana umaskini ni mateso kuliko ukilemaWafanyabiashara wanna thamani kubwa kuliko
Marehemu waliouliwa bila hatia
Kuliko wajane waliochwa na ukiwa
Kuliko Yatima waliozimishwa ndoto zao
Kuliko ndugu jamaa na walezi waliokuwa bread winner wa familia
But kubwa kuliko yote! Vipi waliohusika na mauaji? Watachukuliwa hatua gani?