Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sasa kuna viwanda gani Bongo vya kulinda aisee?Acha leseni zitolewe Mangi apige hela ndefu MAZOMBIE wapate sukari ya kutosha. Kila leseni Mangi na 'wariayee' wahakikishe wana 10% percent yao.Wenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.
Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari,ngano,mafuta ya kupikia nk.ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.
Tukiacha kununua kwao na wao wanaacha kupitishia mizigo yao kwenye bandari yetuWenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.
Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari, ngano, mafuta ya kupikia nk.ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.
Sasa kwani hao wenye viwanda vya sukari wamezuiwa kulima miwa zaidi ili kupata malighafi ya kutosha? Hadi sasa viwanda vya ndani vimeshindwa kukidhi mahitaji ya soko sasa kwanini iwe nongwa kuagiza kufidia upungufu!Wenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.
Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari,ngano,mafuta ya kupikia nk.ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.
Wilaya ya Missenyi iliopo mpakani mwa Tanzania na Uganda ndipo kilipo kiwanda kikubwa cha sukari Tanzania cha Kagera Sugar. Cha ajabu ukienda mpakani kununua sukari, sukari ya Uganda ina bei ndogo kuliko sukari ya Tanzania inayozalishwa ndani ya Wilaya hiyo hiyo. Wazee wa dili wanachofanya, badala ya kununua sukari ya Kagera Sugar ya bei juu hapo wilayani, wananunua vifungashio vya kagera Sugar kisha wanaenda mpakani kununua sukari ya Uganda kwa bei chee na kuja kuiuza ktk wilaya hiyo hiyo ya Missenyi yenye kiwanda kikubwa Tz kwa bei juu.Tukiacha kununua kwao na wao wanaacha kupitishia mizigo yao kwenye bandari yetu,
Sema cha kushangaa ni kwamba sukari yenyewe uganda ni shida
Sasa wanatuuziaje sie wakati wenyewe haiwatoshi?
Hizo ndio siasa za afruca
Wakati wa uyo aliekuwa akiweka kipaombele cha Umeme wa uhakika. Sukari ilikua kiasi gani?Kwa staili hii mama ndo Mana hatilii kipaumbele Suala la umeme wa uhakika.
Tatzo la viwanda vya ndani si malighafi bali ni umeme wa uhakika ndo maana ya kujenga power plant ya Bwawa la Nyerere.
Ajabu mama hashughuliki na hyo Zaid ya kushikilia sera nyepesi za kiuchumi zinazoangazia solution la muda mfupi tu.
Tujenge miundombinu ya upatikanaji wa umeme wa uhakika,viwanda vitazalisha KWA wingi na kuuza kwa bei Chee, so exportation itakua simple sana.
otherwise Basi ategemee kalamu itamuandika vibaya KWA future generation na kumshangaa yeye kama mkuu wa nchi KWA maamuzi kama haya
Huku uswahilini tulininua 5,000 kilo mojaWakati wa uyo aliekuwa akiweka kipaombele cha Umeme wa uhakika.. Sukari ilikua kiasi gani?