UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Nyingine hii hapa imeunganisha zoteUsirukie mambo usiyoyajua wewe chawa. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali. Teuzi za kimalaya malaya siku hizi hakuna.View attachment 2027648View attachment 2027649
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umesahau na ile clips waziri akitoa status ya ukuwaji na ubora uzalishaji wa viwanda vya sukari nchini.Usirukie mambo usiyoyajua wewe chawa. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali. Teuzi za kimalaya malaya siku hizi hakuna.View attachment 2027648View attachment 2027649
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huteuliwi ng'o !Umesahau na ile clips waziri akitoa status ya ukuwaji na ubora uzalishaji wa viwanda vya sukari nchini.
Unakubali nyinyi wachache ni mazuzu, wala hamuelewi chochote!Ongera mama kwa kukemea tena kwa ukali,wachache tunakuelewa.
Hangaya kaingizwa chaka naye kaingia mzima mzimaBalozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu...
Huu utumbo umemwandikia nani?Hapo vip!!
Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake...
Kabla hatujaongea kihisia,kichuki,kishabiki na kiitikadi..angazia swala la sementi...leo hatuagizi sementi kutoka nje..matokea yake sementi imepanda juu sana kwa mtumiaji wa chini..nadhani katika east Afrika ni mtanzania pekee ndio ananuanua sementi gali...Unakubali nyinyi wachache ni mazuzu, wala hamuelewi chochote!
Oooh, samahani, nilikuwa sijaangalia jina. Basi Sawa! Nyinyi ni wapuuzi sana, na yeye ni mpuuzi kama nyinyi. Haya, nenda kamweleze hivyo...
Hata ukimpa miaka mia kujiandaa hataweza.Huyu hakujiandaa kweli kuwa Rais
Wewe ni kiazi sana aisee, pamoja na kwamba jina ulilojipachika hapo linakutangaza. Sina hata njia ya kukueleza wewe ulivyo mpuuzi haswa.Kabla hatujaongea kihisia,kichuki,kishabiki na kiitikadi..angazia swala la sementi...leo hatuagizi sementi kutoka nje..matokea yake sementi imepanda juu sana kwa mtumiaji wa chini...
Usirukie mambo usiyoyajua wewe chawa. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali. Teuzi za kimalaya malaya siku hizi hakuna.View attachment 2027648View attachment 2027649
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Naweza kusema wameshindwa, haiwezekani Uganda sukari inunuliwe elf mbili Tzs 2000/ alafu Tanzania inunuliwe elfu 3000\=Kwa ni Kagera Sugar, Mtibwa, Kilombero, Kilimanjaro, Manyara sugar n.k wameshindwa kuzalisha sukari ya kutosha?
Kwa namna nyingine pia naweza kukubaliana na mama maana mafisadi hawachelewi kutengeneza genge la kusababisha uhaba wa sukari ili ipande bei.
Hapa kuna tatizo. Si kawaida Rais, Waziri Mkuu na Waziri kutofautiana wakati wote wanatumikia serikali moja na wana kila fursa ya kuweza kuwasiliana kabla ya kutoa msimamo.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Yaani huyu Mzee anataka kutuuzia sukari ili akakomboe uwanja wa ndege?
Vita vya panziHii Misukuma Gang ina Chuki na kijinga na kipuuzi sana.sasa mnataka tuuziwe sukari kilo elfu10 eti? Huyu Rais ni Mchumi by professional sio kama yule mwenye PhD ya kubumba muelewe hilo kwanza...
Kwa hili la sukari ilikuwa zamu yake kudemka, na kademka kweli kweli !!Kiukweli, Mh. Rais Mama Samia, hakuijua vizuri na kiundani hii biashara ya sukari, inakaribia biashara ya madawa ya kulevya, nadhani Mh. Rais kaingia chaka kwa hili la sukari.
Usipoagiza...na wao hawatanunua vyako...Wenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.
Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari, ngano, mafuta ya kupikia nk. Ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.