Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Huyu huyu mshamba wa chato
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.

"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-

Kila uchaguzi ulivyokuwa unaendelea Ccm ilikuwa inazidi kupoteza nguvu. Dhalimu baada ya kuipotezea CCM mvuto, ikabidi apore uchaguzi ili asiingie lawamani toka kwa wanaccm wenzake kuwa ndio kaishusha ccm.
Unaongelea habari za mvuto kwa ccm kupungua kipindi cha Jiwe wakati chaguzi zote ccm imekuwa ikitumia dola kulazimisha ushindi, sasa huo mvuto gani ambao Jiwe aliukuta na ndio akauharibu?
 
Unaongelea habari za mvuto kwa ccm kupungua kipindi cha Jiwe wakati chaguzi zote ccm imekuwa ikitumia dola kulazimisha ushindi, sasa huo mvuto gani ambao Jiwe aliukuta na ndio akauharibu?
Eti kulazimisha ushindi, hahahahaha ila watu mnamakasiriko sana
 
Back
Top Bottom