Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Asante kwa Kukiri kuwa hiyo Tuzo ya 'Abubacar Ndiaye' uliyopokea inayohusiana mno na Maendeleo ya Miundombinu si yako bali ni ya Hayati Rais Dkt. Magufuli na ungejisifia ( ungejipongeza ) ni yako kutokana na Juhudi zako ningekushangaa kuliko Maelezo ila nashukuru ulijishtukia Mwenyewe.

Hata hivyo nalaumu Watu wako wa Itifaki kwani kwakuwa walikuwa wakijua kuwa Baba ( Champion ) wa Miundombinu Tanzania alikuwa ni Hayati Rais Dkt. Magufuli basi ili kuleta maana zaidi na kuipa Heshima na maana ingependeza katika 'Ziara' yako hiyo ungesafiri na Mkewe ( Mjane ) Mama Janet Magufuli au hata Yule Mwanae mkubwa ( Bonge ) wa Kiume kama muwakilishi wa Familia.
Rubbish 🚮 🚮🚮🚮
 
Kakuheshimisha wew na familia yako. Usipende kutumia wingi, ongelea nafsi yako na familia yako ukienda mbali sana ongeza sukuma gang.
Ameongelea watz, siyo wewe na ukoo wako masikini
 
Sukuma gang naona meno yote nje, mama anawateka kiujanja
Mama ataungana na sukuma gang kuwaplekea moto machadema 2025 hadi mkome!

Bora mwamba kaamua aungane na mama kuramba asali
 
Hii ni zawadi kwa nchi sio mtu! Raisi aliyepo anapokea kwa niaba ya nchi
You are right my dear. Yeye JPM alikuta kuna miradi ya barabara na ujenzi aliyowacha JK na kuiendeleza na yeye ameondoka wengine wataendeleza.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.

"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-

Tuzo inazidiwa hadhi na tuzo ya singeli,bladifaken wahed wewe
 
Alihamishia Ikulu kusudi watu wasifanye wizi. Na ununzi ule haukuwa na wizi ndiyo maana aliweza kuleta madege mengi sana kwa muda mfupi. Kuna wakati Mramba alituambia helio tule nyasi kusudi wapate ndege moja tu ya Gulfstream inayobeba abiria tisa tu ambayo leo hatuisikii tena; je wewe unajua hiyo Gulfstream moja tu ilinunuliwa kwa bei gani?. Jamaa kaleta maboeing, maairbus na mabombadia kwa muda mfupi bila watu kula nyasi. Usilete masikhara hapa.
Sawa, nimekuuliza unajua zilinunuliwa bei gani? Wajua hakutaka hata CAG kukagua manunuzi hayo ndiyo maana akahamishia chini ya Ofisi ya Ikulu?
 
Ukweli gani liongo kabisa like? Mnajenga kwa pesa zenu ndio ukweli huo?

Anaesema ukweli anaweza zuia ukosoaji na kuwinda wanaomkosoa awaue?

Samia na Magufuli nani mkweli?
Samia, ndiyo maana Sukuma gang hawampendi, wao wamezoea kudanganywa tu.
 
Mama ataungana na sukuma gang kuwaplekea moto machadema 2025 hadi mkome!

Bora mwamba kaamua aungane na mama kuramba asali
Mimi sioni tatizo, sasa ulitaka akalambe shubiri?
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.

"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-

Kalifufueni mzikwe nyie sukuma gaaaaang
 
Dubwasha limekufa kibudu lipo motoni kwa kupora korosho za wakulima na kuua na kutesa wapinzani.
Asiyeamini huu ukweli kalifufue azikwe yeye.
Tanzania Tanzania haihitaji raisi kichaa na punguani kama John
Asante mungu kwa wema wako kuliondosha mapema
 
Back
Top Bottom