leiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 657
- 1,560
Huyo mwanae Bonge tumuite kwa jina lake basi. Anaitwa Joseph.Asante kwa Kukiri kuwa hiyo Tuzo ya 'Abubacar Ndiaye' uliyopokea inayohusiana mno na Maendeleo ya Miundombinu si yako bali ni ya Hayati Rais Dkt. Magufuli na ungejisifia ( ungejipongeza ) ni yako kutokana na Juhudi zako ningekushangaa kuliko Maelezo ila nashukuru ulijishtukia Mwenyewe...