Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama ni mjanja...anajua kusoma alama za nyakati.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.
"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-
Anawachota Sukuma gangMachadema yatanuna!
Wew kesho hutakufa? Babu yako yuko wapi? Mijitu isiyomjua Mungu inaogopa Sana kufamagufuli alishakufa
Ukishakufa hakuna cha kupumzika kwa amani , mnadanganyanaHakika Magufuli uliko pumzika kwa amani,umetuheshimisha barani afrika,
Wapo waliosema hawataki maendeleo ya vitu,lakini maendeleo ya vitu ndio yanaanza kwanza ,rais Samia kakubali wewe ni mwamba
Magufuli alikuwa anasema ukweli bila kupaka mafuta wala kujikuza; niliwahi kusema kuwa Magufuli alitakiwa kufundishwa namna ya kubana baadhi ya maneno, kwani kuwa anasema ukweli wote ndiko kulikomfanya achukiwe na watu wa Kikwete. Makosa ya Kikwete alikuwa anayasema na mazuri pia alikuwa anayesema, kwa mfano aliposema kuwa Kikwete alipenda ile flyover ya Tanzara ijengwe ingawa haikujengwa, yeye ataijenga. Hapo kulikuwa na ukweli na ukweli. Ukweli wa kwanza ni kuwa wazo la flyover ya Tazara ni la kutokea serikali ya Kikwete, ukweli wa pili ni kuwa serikali ya Kikwete hakujenga, ila serikali yake itajenga. Ni vivyo hivyo pia kwenye ujenzi wa Terminal 3 ambayo miaka ya mwisho ya utawala wa Kikwete ujenzi ule ulikuwa hauendelei kwa vile wakandarasi walikuwa wanataka kujitoa kwa kukosa malipo.Mama amekuwa mkwelj. Angelikuwa yule chizi angejitukiza yeye.
Nakumbuka jiwe alikuwa anamsagia kunguni Kikwete ili sifa zote zibaki kwake.
Gazeti la Mawio lilifungiwa mwaka 2017 kisa lilikuwa linamsema vibaya Kikwete na ndipo Magufuli akatoa tamko kuwa "Wastaafu Waachwe wapumzike sio kila siku kuwasema".Mama amekuwa mkwelj. Angelikuwa yule chizi angejitukiza yeye.
Nakumbuka jiwe alikuwa anamsagia kunguni Kikwete ili sifa zote zibaki kwake.
Tunajua kauli hukutaka kuisikia ila ndo ukweli. CHUNGU lakini TAMU HIYO.Anawachota Sukuma gang
Sasa we utakufa upumzike kwa vurugu ambayo ni kweli.Ukishakufa hakuna cha kupumzika kwa amani , mnadanganyana
Fact ni kuwa mkataba wa ujenzi wa Flyover ya TAZARA uilwekwa saini mwaka 2015 na utawala wa JK kabla hata ya uchaguzi mkuu uliomuingiza Magufuli madarakaniMagufuli alikuwa anasema ukweli bila kupaka mafuta wala kujikuza; niliwahi kusema kuwa Magufuli alitakiwa kufundishwa namna ya kubana baadhi ya maneno, kwani kuwa anasema ukweli wote ndiko kulikomfanya achukiwe na watu wa Kikwete. Makosa ya Kikwete alikuwa anayasema na mazuri pia alikuwa anayesema, kwa mfano aliposema kuwa Kikwete alipenda ile flyover ya Tanzara ijengwe ingawa haikujengwa, yeye ataijenga. Hapo kulikuwa na ukweli na ukweli. Ukweli wa kwanza ni kuwa wazo la flyover ya Tazara ni la kutokea serikali ya Kikwete, ukweli wa pili ni kuwa serikali ya Kikwete hakujenga, ila serikali yake itajenga. Ni vivyo hivyo pia kwenye ujenzi wa Terminal 3 ambayo miaka ya mwisho ya utawala wa Kikwete ujenzi ule ulikuwa hauendelei kwa vile wakandarasi walikuwa wanataka kujitoa kwa kukosa malipo.
Kwa mara ya kwanza mama amekiri UKWELI hadharani.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.
"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-
Unaishi kwa kuwaangalia CHADEMA?Machadema yatanuna!
Kikwete kaharibu sana hii nchi baada ya kuigeuza Ikulu pango la walanguzi
NonsenseMama amekuwa mkweli. Angelikuwa yule angejitukiza yeye.
Nakumbuka jiwe alikuwa anamsagia kunguni Kikwete ili sifa zote zibaki kwake.
Hakuna Amani Kwa waovuHakika Magufuli uliko pumzika kwa amani,umetuheshimisha barani afrika,
Wapo waliosema hawataki maendeleo ya vitu,lakini maendeleo ya vitu ndio yanaanza kwanza ,rais Samia kakubali wewe ni mwamba
Na bado alikuwa anaingilia kwapani kama nchi ya ufaransa na makoloni yake wananchi walikuja juu sasa naona kaingia chimbo kama vile hayupo mkwere noma.Kikwete kaharibu sana hii nchi baada ya kuigeuza Ikulu pango la walanguzi
Kwani hiyo tuzo,huwezi kuipeleka CHATO kabulini?Wanaotoa hiyo tuzo wanafiki wakubwa! Mbona hawakumpa jpm?