Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua.Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Tume huru imeteuliwa na nani?Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Wewe ni miongoni mwa wanawake wenye akiliHata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua.
Kumuamini mwanasiasa tena wa ccm ni kazi sana.
Juzi tu 2024 wameiba uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaengua wapinzani halafu Leo anatoa hizo kauli .. inatia hasira sana...
Mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa umesimamiwa na makada wa ccm ngazi za kata.
Sehemu zingine walizosimamia walimu wasio makada wakatishwa wasipitishe mpinzani....
Sehemu zilizokuwa na upinzani kama BADI, MALAMPAKA wilayani Maswa mkoani Simiyu wakaambiwa wachukue fedha waachie ngazi au wapewe kesii...
HAWA NDIO CCM NI HATARI MNO ....
Eti kuna tume huru ya uchaguzi 🤣🤣🤣Huyu mama anadhani nchi inaendeshwa kwa utashi na ulaghai kama kupaka make up na kufunga ushungi.
Kama yupo serious afanye mabadiliko ya mifumo ya kikatiba na kisheria .
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Natamani iwe hivoAsubiri maandamano yaanze na majeshi yamsusie ndo atajua hajui.
Remote ni mzee wa tabasamu yeye anapokea maagizo.Hivi huyu mama hawezi kukumbuka kuwa waTanzania hatimaye watagundua ulaghai mwingi anaoutumia?
Hivi juzi juzi tu, kawa'ambush' wana CCM wenzake kwa uteuzi wake wa kugombea kiti cha urais, kwa kuingiza ajenda ambayo haikupangwa kuongelewa kwenye kikao, tena kwa njia za kihuni huni!
Uchaguzi wa serikali za mitaa, maneno yalikuwa ni hayo hayo ya uchaguzi huru na ahski; na baada ya uchafuzi kujitangazia ushindi mkubwa bila ya aibu!
Sasa tena anakuja na ngonjera zilezile, kana kwamba watu ni wajinga?
Hivi anazijuwa zile 4R kweli, hata kwa kuzitaja tu bila ya ufafanuzi wake?