Hii ni Point, Chaguzi za Serikali za Mitaa Zingefutwa tuanze upya.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni batili, ufutwe tufanye Chaguzi zote Oktober 2025 chini ya Tume HURU ya Uchaguzi.
NO REFORMS NO ELECTION LINDA DEMOKRASIA
Viongozi wetu wa Dini na wa CHADEMA na ACT WAZALENDO nk. wapambanie hiliHii ni Point, Chaguzi za Serikali za Mitaa Zingefutwa tuanze upya.
Hivi wananchi wanahitaji kauli ya mtu au wanahitaji mabadiliko yamifumo ambayo atakaechaguliwa atatangazwa kwakushinda sio kwakuaamua watawala kwakufanya uchaguzi huru hatutahitaji misafara ya mapolisi tutapunguza hata gharama kwenye kampeni mana tutataka kusikia sera sio kuona mabango na vipeperushi na gharama tutakazookoa zitasaidia kwenye mambo ya maendeleoRais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
HawatawezaViongozi wetu wa Dini na wa CHADEMA na ACT WAZALENDO nk. wapambanie hili
Anataka kusema nini kuhusu huu wa serikali za mitaa uliofanyika?Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama uchaguzi utakuwa wa Huru na Haki,hata chadema wakigaragazwa siyo mbaya!uzuri chadema wamekubali walipoteleza ni wapi hadi kukosa mvuto kisiasa hivyo hawatoshangaa wakigaragazwa na chama tawala
sikuzote chaguzi zimekua za huru na haki ndugu asikudanganye mtuKama uchaguzi utakuwa wa Huru na Haki,hata chadema wakigaragazwa siyo mbaya!
Mkuu huoni hata aibu kulisema hili?sikuzote chaguzi zimekua za huru na haki ndugu asikudanganye mtu
ni kawaida katika kinyanyiro vya kiuongozi hasa kwa alieshindwa kutokana na ubora hafifu, kupandikiza na kuingizaingiza maneno ya kutafuta huruma ili kujiimarisha jambo ambalo vyama vingi ya upinzani hapa nchini hufanya na kuzidi kuangukia pua kila awamu tano zinapopitaMkuu huoni hata aibu kulisema hili?