Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Basi huyo "Remote, mzee wa tabasamu" atakuwa anamdharau sana huyu mama kwa kumtumia na kumdhalilisha kiasi hiki mbele za waTanzania.Remote ni mzee wa tabasamu yeye anapokea maagizo.
Delila wa kwenye BibiliaRais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Mkuu Maua πππππMambo ya ajabu sana haya.
Yaani nchi nzima tuishi kwa utashi/ahadi za kiumbe mmoja tu!
Huyu mtu yeye ni nani?
Samia ameharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hapo hapo amethibitisha kuwa zile 4R ni HADAA na ULAGHAI mkubwa kabisa.
Hatuwezi kumuamini tena,kama tu Chaguzi ndogo ndio kafanya vile je uchaguzi MKUU?!..Kikatiba Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi.
..sasa Samia na mkwewe wameharibu uchaguzi wa serikali za mitaa halafu wanataka tuwaamini kusimamia uchaguzi mkuu bila marekebisho yoyote ya mifumo.
Wewe ndio uko brainwashed na Lissu. Huyo Mama ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Who's Lissu?Huyu mama anadhani nchi inaendeshwa kwa utashi na ulaghai kama kupaka make up na kufunga ushungi.
Kama yupo serious afanye mabadiliko ya mifumo ya kikatiba na kisheria .
Wewe hujui lolote kuhusu uchaguzi. Umetoka kwenu unguja na makapu ya nazi na ng'onda. Tutolee makelele hapaRais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Salute Mkuu π«‘ππππππππHuyu mama anadhani nchi inaendeshwa kwa utashi na ulaghai kama kupaka make up na kufunga ushungi.
Kama yupo serious afanye mabadiliko ya mifumo ya kikatiba na kisheria .