Ushungi umeengiaje ? Chuki zenu dhidi ya ushungi ndio maana chadema mnapoteza imani kwa waislamHuyu mama anadhani nchi inaendeshwa kwa utashi na ulaghai kama kupaka make up na kufunga ushungi.
Kama yupo serious afanye mabadiliko ya mifumo ya kikatiba na kisheria .
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Wa serekali za mitaa mbona hakufuata hizo 4R? Aache utapeli usio na tija.Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Ww ndio msemaji wa waisilamu?Ushungi umeengiaje ? Chuki zenu dhidi ya ushungi ndio maana chadema mnapoteza imani kwa waislam
Uislam hauna msemaji. Quran na hadithi ndio msemajiWw ndio msemaji wa waisilamu?
Jisemee ww na sio kuwasemea waisilamu.Uislam hauna msemaji. Quran na hadithi ndio msemaji
Mbona wanaovaa mislaba husemi?Jisemee ww na sio kuwasemea waisilamu.
Misalaba ndio kitu gani?Mbona wanaovaa mislaba husemi?
Hiyo ni siasa, Yaani wagombea wa upinzani wasienguliwe, mawakala wa upinzani wasitolewe vituoni mmmmhRais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Maneno na vitendo Yao ni kama mbingu na ardhi.Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Kinana aliwadanya kina zitto kwamba uchaguzi utakuwa huru na haki, lakini kilichotokea duh...Maelezo hayahaya yalitolewa kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 lakini kilichotokea ni uchafuzi wa uchaguzi kama ilivyotokea 2019,2020.Mbaya zaidi watu waliuliwa na dola kisa tu uenyekiti wa kitongoji.
Nawaunga CDM na No reforms,No election.
Kwa tume hii ccm wanafanya watakalo...Hata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua.
Kumuamini mwanasiasa tena wa ccm ni kazi sana.
Juzi tu 2024 wameiba uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaengua wapinzani halafu Leo anatoa hizo kauli .. inatia hasira sana...
Mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa umesimamiwa na makada wa ccm ngazi za kata.
Sehemu zingine walizosimamia walimu wasio makada wakatishwa wasipitishe mpinzani....
Sehemu zilizokuwa na upinzani kama BADI, MALAMPAKA wilayani Maswa mkoani Simiyu wakaambiwa wachukue fedha waachie ngazi au wapewe kesii...
HAWA NDIO CCM NI HATARI MNO ....
Leo unadai uchaguzi utakuwa wa huru na haki hilo haliwezekani KAMWE CCM mmeshajitengenezea kansa ya wizi wa uchaguzi..
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya Maswa kafanya hujuma kubwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 lakini umeamua hujuma ile aipeleke na Bunda kwenye upinzani mkali baada ya hapo umpeleke Mbeya Kwa sugu.. ..Leo unadai uchaguzi utakuwa wa huru na haki!!?
CCM wananchi tunajua Kila kitu kinachoendelea.
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Haya sasa, si ndio vioja hivyo!Ukitaka kuamini CCM ni mashetani yaaani hapo yupo kwenye kongamano la dini tena leo ni siku ya dini na wametoka kwenye mfungo alafu anaongea mambo ambayo hata mwenyewe anajua ni uongo na uzandiki.