Pre GE2025 Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machadema tafuteni visingizio
 
Mama Samia ww ni mtu wa haki. Usikubali watendaji wa chini waaribu image yako. Walipe watu wenye hati bonde la jangwani kwa mujibu wa sheria ya ardhi pesa ikichelewa kulipwa kwa wenye haki vibaka na vishoka wanaingilia kati na kuharibu zoezi
 
Mama naye ameanza vioja.
!!

Uchaguzi utakuwaje huru na wa haki wakati mifumo ya usimamizi wa uchaguzi ni ya hovyo na ya kidikteta? Au utakuwa wa haki kwa vile tu msimamizi ni mkwe wake?

Kwa hili akawadanganye punguani.
 
Siasa siasa mpaka muda ufike
 
Acha stori za Jiwe tuko Kwa Samia,saizi mko free Kwa chochote hakuna visingizio

Tuko free kwa chochote huku tume ya uchaguzi ina muundo uleule na katiba ile ile?! Ni mtu mjinga tu atajifanya anawaamini watu wasiostahili kuaminiwa. Katiba irekebishwe na tume isichaguliwe na mwenyekiti wa ccm. Dhalimu Magu ndio alikuja kuweka kikomo Cha kuendelea kushiriki chaguzi za katiba na muundo huu wa tume. Mnaokamatika na hizo ahadi za hadaa za majukwaani mnaweza kuendelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…