Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Uchaguzi huru ni mifumo huru ya uchaguzi na kuheshimu sheria za uchaguzi na sio ahadi za majukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Rais Samia amesema hayo leo katika sherehe za mwaka mpya 2024 (Diplomatic Sherry Party) kwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa zilizofanyika Ikulu.
Aidha, Rais Samia amesema ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki, Kikosi Kazi huru cha kupitia na kushauri mageuzi muhimu katika mfumo wa siasa kiliundwa ambapo kiliwasilisha ripoti yake mwaka 2023.
Rais Samia pia amesema mapendekezo mengi ya Kikosi Kazi yaliyopokelewa na serikali na wadau wote yalihusu kuongeza uwazi katika michakato ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Vile vile, Rais Samia amesema masuala machache hayakupokelewa moja kwa moja ambayo yalikuwa kinyume na katiba hivyo yanaweza kuchukuliwa wakati wa mchakato wa marekebisho ya katiba.
Rais Samia amesema serikali itaendeleza ushirikiano na balozi hizo kwa mujibu wa katiba, tunu za kitaifa, usawa, umoja na mshikamano wa kitaifa huku akiwataka mabalozi hao kutokuingilia uchaguzi na kuzingatia mila, kanuni na maadili ya kidiplomasia.
Kwa upande mwingine, Rais Samia amesema Tanzania inasikitishwa na vita vinavyoendelea Palestina na kusababisha mauaji ya watoto na raia wasio na hatia na inaunga mkono usuluhishi kati ya Palestina na Israeli kwa kutoa wito wa kusitishwa mapigano na kupatiwa misaada ya kibinadamu.
View attachment 2897549
View attachment 2897550
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897551
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897552
View attachment 2897553
View attachment 2897555
View attachment 2897556
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897557
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Hata Jiwe majukwaani alikuwa anahubiri habari ya uchaguzi huru na wa haki.Machadema tafuteni visingizio
Duh 🙄 !Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Acha stori za Jiwe tuko Kwa Samia,saizi mko free Kwa chochote hakuna visingizioHata Jiwe majukwaani alikuwa anahubiri habari ya uchaguzi huru na wa haki.
Kawadanganye wajukuu zako.
Duh 🙄 !Kama Lissu tu kuongea na media ni shida, ndio wataweza kuruhusu uchaguzi huru?
Msitufanye watoto.
Ndio itapunguza Mgao wa Umeme?Mama kapendeza
Eidha ni Mjinga au unatuona Wajinga.Machadema tafuteni visingizio
Tangu lini Machadema Wana akili?Eidha ni Mjinga au unatuona Wajinga.
Watu wanaodai KATIBA MPYA na TUME HURU ili kumkomboa Mwananchi?!Tangu lini Machadema Wana akili?
RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Rais Samia amesema hayo leo katika sherehe za mwaka mpya 2024 (Diplomatic Sherry Party) kwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa zilizofanyika Ikulu.
Aidha, Rais Samia amesema ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki, Kikosi Kazi huru cha kupitia na kushauri mageuzi muhimu katika mfumo wa siasa kiliundwa ambapo kiliwasilisha ripoti yake mwaka 2023.
Rais Samia pia amesema mapendekezo mengi ya Kikosi Kazi yaliyopokelewa na serikali na wadau wote yalihusu kuongeza uwazi katika michakato ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Vile vile, Rais Samia amesema masuala machache hayakupokelewa moja kwa moja ambayo yalikuwa kinyume na katiba hivyo yanaweza kuchukuliwa wakati wa mchakato wa marekebisho ya katiba.
Rais Samia amesema serikali itaendeleza ushirikiano na balozi hizo kwa mujibu wa katiba, tunu za kitaifa, usawa, umoja na mshikamano wa kitaifa huku akiwataka mabalozi hao kutokuingilia uchaguzi na kuzingatia mila, kanuni na maadili ya kidiplomasia.
Kwa upande mwingine, Rais Samia amesema Tanzania inasikitishwa na vita vinavyoendelea Palestina na kusababisha mauaji ya watoto na raia wasio na hatia na inaunga mkono usuluhishi kati ya Palestina na Israeli kwa kutoa wito wa kusitishwa mapigano na kupatiwa misaada ya kibinadamu.
View attachment 2897549
View attachment 2897550
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897551
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897552
View attachment 2897553
View attachment 2897555
View attachment 2897556
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
View attachment 2897557
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
haiwezekani, ebu nitupie picha ambayo hajafunika kichwaLeo ameacha kuvaa ushungi ili andanganye vizuri ......!!
Ok ushungi kama ushungi, you are correctLeo ameacha kuvaa ushungi ili andanganye vizuri ......!!
Acha stori za Jiwe tuko Kwa Samia,saizi mko free Kwa chochote hakuna visingizio