LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usichukuliwe poa, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu

LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usichukuliwe poa, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi wasiuchukulie poa ni Uchaguzi kama uchaguzi mwingine.



Soma: Rais Samia kuzindua uandikishaji wa Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024 - Dodoma
 
Wakurugenzi wako si wale wale walioiba Uchafuzi uliopita?!
 
Isije ikawa na wizi maana itaonyesha hata 2025 kutakuwa na wizi wa kura.
 
Back
Top Bottom