Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

Kwanza aibu sana mtu kma rais ana lalamika eti haoni kodi ni kitu cha hovyo sana na ajabu kweli
 
Hapa Mh ZK ni kama ameshikwa na hasira ya kile anachosikiliza na anatamani anyanyuke aondoke ila Tumbo nalo linamtaka andelee kubakia Royal hata kama hakubaliani na hizo " Hadithi za Bibi"
 
Nguvu anayotumia kuteka na kuua watu aihamishie kwenye kukusanya na kusimamia mapato ya serikali.
 
Huyu bibi haishi kulalamika kama vile hajui jukumu lake la kuwa Rais!
Hata muunde tume ngapi na kuleta mapendekezo lukuki ya kuongeza makusanyo, hamuwezi kufanikiwa kwasababu , viongozi wa serikali ndio wao wanawalinda wafanya biashara wakubwa kwani wanakula nao!! Mkazo wao mkubwa ni kuwakamua watu wa chini kwa kuongeza tozo za kila aina.
Huyu bibi hajui shida za nchi kwani anatilia mkazo mapato tu badala ya kuangalia jinsi serikali yake inavyotumia kodi za wananchi ; Huyu bibi anawagawia chawa wake shs. 40,000,000 kila mmoja kutokana na kodi za wananchi ili wamsaidie propaganda za kumuwezesha kupata urais!
If she was serious the so called commission would not only be tasked with looking at the revenue side but also the expenditure side in order to balance the equation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…