Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ngoja arudi mbona tutakomaKwa sasa yuko busy anapitia madaftari yake ya matusi aje akamwage upupu wake humu dhidi ya wenye akili kumzidi...eti taifa letu lina cha kujifunza kutoka Rwanda! Sijui JF imeruhusuje hali kama hii iendelee humu. Subiri tu, bado kidogo muda si mrefu ataingia ushuhudie ninalosema....tik tak...tik tak...tik tak
😂😂😂🤣Kwa sasa yuko busy anapitia madaftari yake ya matusi aje akamwage upupu
Ndio utu uzima huoNa nimepoa Kweli Kweli Mkuu wangu.
Huyo jamaa yako ni muuaji tu na kibaraka wa wazungu katika wizi wa rasirimali za Congo hana jipyaaUkienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.
Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.
Ukienda kwa Kagame Rwanda
Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.
Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.
Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.
Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.
Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Kuna ushauri na ushauri ila huu hapana, hata kwa upeo nilionao siwezi afiki.Yaani akawe DICTATORUkienda kwa Museveni Uganda

another idiot at his/her best. nani kakudangaya kuwa currency value ndo uchumi mkubwa? angalia uchumi wa china na currency value yake.
Hii picha imechorwa kuwakilisha roho chafu ya umwagaji damu, ikimaanisha watz ni ng'ombe Ili kuwaswaga tumia risasi wataenda tu,Chini sio nyumba za nyasi bali ni risasi zimechorwa mfano wa nyumba za nyasi , risasi huwa na rangi ya shaba na ile miale ni ya moto wa risasi,twanga watu risasi wataenda tu utakapo waende.Hii ni art ya kidikteta.Ndipo tuliposhuhudiwa risasi zikitembea kama njugu mara Lisu, Akwiline, kibiti, viroba, utekaji,kupita bila kupingwa, nk.Hii picha popote ilipo ichomwe moto Ili kuondoa Hii roho ya mauaji iliyopandikizwa nchini mwetu. Hii tabia mbaya asili yake ni zilipotoka hizo baada ya PAKA kupata chake akamtosa hata kumzika na kamsusa mwanafunzi wake.Mimi nilihuzunika sana hadi nilitoa machozi na ndio ilikua mwanzo na mwisho kuangalia taarifa ya habari ya Chanel zetu alipewa zawadi ya ng'ombe nikajua lile pazia tuu...yule Kagame atahukumiwa kwa aliyokua anashawishi mabaya yafanyike Tanzania...
Utajiri wa Rwanda unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kuiba madini kutoka Congo na kuchelewesha amani kupatikana Congo kwa kuvipatia pesa vikundi vinavyopigana huko kongo mashariki.. kwasababu ikitokea Congo imepata amani na kukawa na serikali imara watabanwa kufuata taratibu kuvuna madini husika..Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.
Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.
Ukienda kwa Kagame Rwanda
Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.
Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.
Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.
Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.
Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Genta huenda una sababu zako za msingi naziheshimu! Lakini nakupa angle hii hapa ikufikirishe ni upi uwekezaji mzuri zaidi!:Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.
Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.
Ukienda kwa Kagame Rwanda
Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.
Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.
Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.
Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.
Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Akili huna wwAkienda kule ( kwa Kagame ) ataambukizwa pia 'IQ' Kubwa ambayo akija nayo huku Tanzania 'atawaambukiza' na Watanzania wengine.
Ni majadiliano bro sio ugomvi au mashindano!Akili huna ww
Eti huyu sio mtafiti anaropoka kabla ya kujiridhisha, hebu imagine Rwanda gdp Usd bn 10, Tz Usd bn 63, Uganda Usd bn 35 na Kenya Usd bn 95! Huyu labda anataka Rwanda tukajifunze ukamdamizaji, kuteka watu, na kusigina katiba vinginevyo sio mahali pakwendaRwanda wamefikia wapi kiuchumi kama TZ wenyewe tunawazidi?
Kwa hiyo mnataka akapewe maujuzi ya kulazimisha kuvunja Katiba? Afinzwe namna ya kubaki madarakani baada ya kipindi chake kuisha? Afinzwe namna ya kubana Uhuru wa habari. No, PK hafai kuwa rafiki hata kidogo.Ukienda kwa Museveni Uganda