Rais Samia ukirudi kutoka ziarani Marekani na Cuba tuletee zawadi hii: Uwe umejifunza demokrasia ya vyama vingi na uchaguzi huru na wa haki

Unapoteza muda na energy yako : kama unafanya kazi, ni sawa na mtu akuombe uache kazi ili na yeye apate, wewe utakula wapi.?

Demokrasia haiombwi, it has to be demàded Even by bloodshed, in demanding…… there comes a respect

Nimekua nikisema snaa ; there is no way chama cha upinzani kitashinda bila katiba mpya. Kama unadhan wakuu wa wilaya, wa mikoa, wakurugenzi wa halmashauri wanachaguliwa na rais kwa bahati mbaya haya, hao ndio wapishi wa kuhakîkisha kura zinaenda chama tawala

A cut off ya hao watu kuwa presidential appointment ni lazima

DG wa NEC ni presidential appointements, still mtu ana expect démocracy kwenye ouchaguzi, that is absard.

NEC inatakiwa iwe independent entity na DG wake achaguliwe na wananchi

Rais hapaswi kuteua DED, wala mkuu wa wilaya wala mkoa , ni watumishi na hawapasw kuwa na affiliation na yeyote

Kama hayo hayafanyika, achaneni na story za demokrasi
Pigeni maokoto Kama kina mbowe life isonge
 
Ebu nielimishe kuhusu Demokrasia ya vyama vingi hapo Cuba? Hivi ujui mkuu mfumo wa uchaguzi wetu ni mzuri kuliko wa Marekani?
Nasubiri uniambie kama kuna mambo ya hovyo kwenye demokrasia ya Marekani kuzidi mambo haya: kupita bila kupingwa, wagombea zaidi ya nusu wa upinzania kuenguliwa bila kupingwa, vyama vya kisiasa kuzuia kufanya kampeni au mikutano, watu kuzuiwa kufanya maandamano ya amani, wakurugenzi wa serikali kusimamia uchaguzi na kuamua nani ashinde nani ashindwe, tume ya uchaguzi inayochaguliwa na rais aliyeko madarakan ambaye naye ni mgombea, rais aliye madarakani kutamka waziwazi kuwa ifikapo mwaka flani atakuwa amevifuta vyama vya upinzani, bunge kung'ang'ani wabunge ambao chama chao kimeshatoa barua kuwa sio wanachama wa chama chao tena, takwimu kuwa 100% ya watu wenye sifa ya kupiga kura wamejiandikisha kupiga kura!
 
Watu wanaojua kuwa kuna uozo mkubwa na nini kinapaswa kufanyika lakini wameamua kufanya maokoto tu na hata kuwakatisha tamaa wale wanaojaribu hata kupaaza sauti zao dhidi ya madhila hizi, hawa watu ndio wabaya zaidi na ndio ma-CCM yenyewe, nafikiri na wewe ni mmoja wao.
 
UWT na biblia wapi wapi bhana? acha uongo
 
Kwanini asijifunze cuba
 
Unaongelea mwaka gani labda? Mbona sisi CHADEMA tumefanya maandamano,mikutano,kugombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…