Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
ChatGpt amekusaliti!Ungependa niandike kauli fupi ya kitaalamu kuhusu hilo kwa matumizi ya ripoti au uwasilishaji?
ChatGpt amekusaliti!Ungependa niandike kauli fupi ya kitaalamu kuhusu hilo kwa matumizi ya ripoti au uwasilishaji?
Waluga luga wachunga ngombe company zao ni mifugo hawana exposureHivi kawachukuliaje wananchi wa Simiyu😅
HUjamalizia mkuu akasema hapa inabid watu wa mkoa ule wajikaze kulipa Kodi .Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:
'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''
Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa
''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Kwani wewe unapima uchumi kwa kutumia mfuko wa nani wa Mwigulu Nchemba.Tatizo unapima uchumi wa Nchi kwa kuangalia mfuko wako
Sasa na useme Luca na genge lake wana maoni gani?Tatizo unapima uchumi wa Nchi kwa kuangalia mfuko wako
Kuhusu kuwa au kutokuwa na akili yeye mwenyewe aliisha lizungumzia hilo kitambo sana.Eti tusitishike shilingi yetu ni imara kuliko dola ya Marekani, Eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko wa Marekani na Ulaya, Eti miradi yote inatekelezwa kwa pesa za ndani, Eti deni la Mama (la Taifa) ni himilivu tunakopesheka, Eti... Eti...,
Mnamdanganya nani kwa faida ya nani, Rais, Wananchi au Matumbo yenu.
Lakini binafsi huwa najiuliza sipati jibu, kwani tuseme yeye hana akili hata ile ndogo tu ya kungundua kuwa hili sio kweli nadanganywa.
Kabisaa!Tatizo unapima uchumi wa Nchi kwa kuangalia mfuko wako
Nendeni shule, uchumi wa tanzania unakua kwa kiwango kikubwa kuliko marekani na ulaya,siyo uchumi wa tz mkubwa kuliko marekani na ulaya,pia shilingi ya tz rate ya uimarikaji ni mkubwa kuliko currency zingine,hata rubble ya Russia ni sarafu inayofanya vizuri zaidi kwa sasa kuliko dola na sarafu zingineEti tusitishike shilingi yetu ni imara kuliko dola ya Marekani, Eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko wa Marekani na Ulaya, Eti miradi yote inatekelezwa kwa pesa za ndani, Eti deni la Mama (la Taifa) ni himilivu tunakopesheka, Eti... Eti...,
Mnamdanganya nani kwa faida ya nani, Rais, Wananchi au Matumbo yenu.
Lakini binafsi huwa najiuliza sipati jibu, kwani tuseme yeye hana akili hata ile ndogo tu ya kungundua kuwa hili sio kweli nadanganywa.