Yanahusu wajinga wake. Kama wewe hauko kwenye hilo kundi hayakuhusu, ila kama upo yanakuhusuHayo maneno ni kwa ajili ya watu wa simiyu au yanatuhusu nchi nzima?
🤣🤣ety BibiHUYO BIBI NI MWEPESI KUDANGANYWA NDYO MANA KAANGIZWA KWENYE KING NYNG YA UTEKAJI MAUAJI KESI ZISIZO NA MIGUU NA WANJANJA AKINA MWIGULU
https://www.bloomberg.com/news/arti...est-performing-global-currency-outpacing-goldHUYO BIBI NI MWEPESI KUDANGANYWA NDYO MANA KAANGIZWA KWENYE KING NYNG YA UTEKAJI MAUAJI KESI ZISIZO NA MIGUU NA WANJANJA AKINA MWIGULU
Thats too obvious, nchi zote low income au emerging markets zinakua GDP kuliko nchi kubwa hiyo inafahamika miaka yote. Hata vyama usishangae kusikia ACT inakua kwa kasi kuliko CCM, maana asiye na kitu akiongeza kidogo ina impact kubwa kuliko mwenye wanachama million 20 room for growth ni ndogo zaidi.Yes Kipindi cha Kikwete Tulipohit 7% huku Dunia Ikiwa kwenye Economic recession na baada ya kuisha Dunia nzima ilijua.
Na ni sahihi kusema uchumi wetu unakua kuliko Usa ama Ulaya Tatizo lipo wapi hapo? Ama mlikimbia hesabu?
Tumbukiza kwenye AI hapo uone itakupa jibu gani
View attachment 3371782
Ukuaji wa uchumi wa ulaya na marekani ni asilimia ngapi na tanzania ni asilimia ngapi?Haya mambo sometimes bora asiyaongee inachafua image yake in publick
Kwa nini umekimbilia PPP?Kwanza hakuna nchi ya Ulaya ambayo Tanzania inaizidi PPP, Per Capita
Hata Ukraine aliye vitani anatushinda kila kitu kuanzia viwanda hadi hospital
Kweli sometimes sifa zinauaKilaza ni yeye ambaye anakubali sifa za kijinga , maza ni kilaza ndiyo maana anakubali kila jambo
Kipindi Mwingulu akiwa waziri wa mambo ya ndani Lissu alikula makombora.https://www.bloomberg.com/news/arti...est-performing-global-currency-outpacing-gold
Kuna kipindi mwigulu alitaka waliosoma uchumi ndiyo wajadili mambo ya uchumi
Mwigulu alimtuma aropoke huko mtandaoni?Kipindi Mwingulu akiwa waziri wa mambo ya ndani Lissu alikula makombora.
Sasa yuko karibu na mheshimiwa Lissu ni mhaini. Hawa si Singida moja jamani?
Nimeuliza kwa nia njema.
Tutafika tumechoka. Sasa tumuamini nani wanduguEti tusitishike shilingi yetu ni imara kuliko dola ya Marekani, Eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko wa Marekani na Ulaya, Eti miradi yote inatekelezwa kwa pesa za ndani, Eti deni la Mama (la Taifa) ni himilivu tunakopesheka, Eti... Eti...,
Mnamdanganya nani kwa faida ya nani, Rais, Wananchi au Matumbo yenu.
Lakini binafsi huwa najiuliza sipati jibu, kwani tuseme yeye hana akili hata ile ndogo tu ya kungundua kuwa hili sio kweli nadanganywa.
Kafulila sio mtu wa Iramba.😁😁
Wote watatu ni Wana Iramba dadeki 🐼
Tutafika tumechoka.
Kaoa hukoKafulila sio mtu wa Iramba.
Kwa hiyo ukioa Iramba na wewe unakuwa mnyiramba?Kaoa huko
Sahihi, my point is hata yeye hajakosea kusema hivyo. Na lengo lake wala halikua hilo alikua akielezea uchumi wao umedorora kukua sababu ya vita, hatuwezi kuwategemea kutupa msaada inabidi tujitegemee wenyewe na kutoa huo mfano wa sisi kuwa na growth kubwa zaidi yao sasa hivi.Thats too obvious, nchi zote low income au emerging markets zinakua GDP kuliko nchi kubwa hiyo inafahamika miaka yote. Hata vyama usishangae kusikia ACT inakua kwa kasi kuliko CCM, maana asiye na kitu akiongeza kidogo ina impact kubwa kuliko mwenye wanachama million 20 room for growth ni ndogo zaidi.
Ukubwa wa uchumi tuaangalie GDP sijui GNI sio growth maana unaweza ukawa unakimbia spidi ila upo kilometer 50 nyuma!! Does it matter?
Tena alaaniwe huyo mzeeCDF mabeyo aliombe Taifa MSAMAHA, he failed his country