baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
"Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”Wapi kasema growth?
Halafu growth kutoka wapi?
Nchi zilizochakazwa kabisa kiuchumi si ajabu ziwe na fast economic growth, zinatoka chini kabisa. You can't fall down from the ground, the only way is up.Watu wenye chumi kubwa hawana growth kubwa jwa sababu washakua kiuchumi tayari.
Kushangikia fast econonic growth bila muktadha ni ujinga.
Keyword hapo sasa hivi, kote 2024 na 2025 on average Uchumi wetu unaongezeka kwa 6% huku global average ikiwa 2.9%, Europe Average 1.7%, North America Average 2.2% etc so kwenye perfomance ya Uchumi miaka hii michache tumefanya Vizuri.