Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:

'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''

Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa

''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”

🤣🤣😂😂
 
Tunafanya vizuri lakini hao ambao hawafanyi vizuri tunawakopa na deni la taifa limeongezeka, are you listen to yourself? Comeon!
 
Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:

'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''

Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa

''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”

Elimu yake plzzz
 
Sijui anawaona Luhaga Mpina na ngosha wenzake kwamba ni wajinga sana—anaweza kuwapa pumba zozote zile na hawatahoji?
 
Ideas that will boost growth and development in Tanzania.

1) Maximum presidential terms, should be three terms of five years each, and not the current two terms.

2) If there are plans for a new constitution, then it should be noted that rasimu ya Warioba is not perfect, it needs more improvements in the democratic and people centred direction.

3) TAKUKURU should be renamed Tanzania Bureau of Investigation. The government should also form the Tanzania Secret Service (TSS), which will cooperate with the current Tanzania Intelligence and Security Services (TISS). TSS will be more responsible with the security of the President and of the state house premises.

4) If there is free space, to increase the length of the runway of the Dar es Salaam airport, from 3,000 to 3,500 or to 4,000 metres. This will attract larger airplanes.

5) If there is free space, to increase the length of the runway of Kilimanjaro International Airport, from 3,600 to 4,000 metres. This will attract more larger airplanes.

6) If there is free space, the runways of all regional airports in Tanzania should be at least 3 kms of tarmac, this will enable big airplanes to land in all regions of Tanzania.

7) Make the whole main road from Holili (on the Tanzanian-Kenyan border, via Moshi and Arusha) until Makuyuni (when the main road branches to Babati and to Ngorongoro gate), to become a double road.

8) Give city status to Moshi town. Expanding it southwards and downwards away from the mountain. And improve its infrastructure. Also finish tarmacking the Kamwanga to Siha to KIA junction, road.

9) Tarmac the road from Ngorongoro park gate to Serengeti park gate to the eastern shore of lake Victoria. This will boost tourism.

10) Open more mountain climbing routes in Kilimanjaro e.g. open the Mkuu Rombo route, the Msae, Lyakirimu, Mwika route, improve the Rongai route, the Sanya juu route etc.

11) Encourage the planting of good trees, that are natural in their local areas, in Dodoma, and in other regions.

12) Encourage a simple form of solid waste separation, when disposing solid waste from households, firms, local governments, public agencies and the central government. A little bit like the solid waste separation in Germany.

13) Encourage and promote youth self employment and employment.

14) Encourage and promote SMEs and local entrepreneurs.

15) To connect a large fresh water pipe between Dodoma city and Rufiji river. This will provide Dodoma city residents with clean, fresh and non-salty water. The lake Victoria water may be piped until Singida.

16) To connect the harbour berths where ships load and unload their cargo inside the Dar es Salaam port, directly with a SGR rail link which will then, down the line, connect with the Dar es Salaam - Dodoma SGR rail and also with the TAZARA rail. So that containers can be loaded and unloaded directly from ships, to and from rail trucks, inside the harbour, to and from SGR rail and TAZARA rail. This will increase port efficiency and government tax revenue.

17) To tarmac 3 kms of airport runway, between Bagamoyo and Kibaha. No building a terminal.

18) Launch a satelite into the earth orbit, that can be used by our telephone and internet companies.

19) Encourage peaceful resolution of land disputes in Gezaulole area of Kigamboni district.

20) To tarmac the road that goes up from Tangi Bovu bus station (that is opposite the Tangi Bovu kkkt church), towards Mbezi Juu, via Mbezi Hills Apartments, until it reaches Goba road. 3 kms.

21) To gravel or tarmac, the whole of Matasha road (one lane road, one car at one time road), and the whole of Makiidi road (two lane road, two cars at one time road), in Mkuu, Rombo district, Kilimanjaro region.

22) Allow only 3 passengers to be in a car (together with the car driver), provided they will unboard the car before the car enters the kivukoni ferry and when the car leaves the ferry (15 - 20 metres either side). As opposed to now where by no passengers are allowed to be in the car.

The passengers will be charged the passenger fare while they sit in the car. Instead of leaving the car completely and using the pedestrian ferry entrances.

23) Create a double road on both sides of the kivukoni ferry, so as to reduce car congestion.

24) Increase the pedestrian kivukoni ferry fare from 200 tzs to 300 tzs, in Dsm.

25) Encourage medium scale LNG projects (around 1 billion USD) that may be more financial feasible. Lengthen the runways of airports that are located in LNG producing areas. Try to connect some major Tanzanian industrial cities with a LNG pipeline network. Inject a bit more money into TPDC and PURA, so as to capacitate them more.

26) Produce domestic and or industrial cooking stoves, that use high quality 'clean' coal (that generates very little smoke when fired), that is mined in Tanzania (e.g. in Ruvuma). This will reduce the use of charcoal and firewood.

27) If there is a single currency in the EAC area (or in the AfCFTA area or in the SADC area), it can co-exist with national currencies, do not abolish the national currencies.
 
USA ina majimbo 50 na miji mingi sana. sasa kati ya miji hamsini mikubwa yote ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania. Narudia yote vimiji sio majimbo. Uchumi wa Tanzania ni mdogo kuliko miji ya watu milion 2 tu. Ni sawa na kulinganisha mche mmoja kwenye shamba ya miche ya hekari 100. Na hii ni mwaka 2023. GDP ya Tanzania ni chini ya $90B

Soon tunaanza kua dona kantre!!!
Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:

'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''

Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa

''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”

Samia afanye angalu trip moja amtembeleeTrump kwasababu tangu Trump ameingia white house Samia amekuwa mtu wa nyumbani sana Huku uchumi wa Tanzania ukifanya vizuri kuliko WA USA .
Huu ndo wakati mnzuri WA kuongeza ushirikiano kimataifa hasa kwenye biashara si ndio Wakuu?😎😎😎😎
 
Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.

GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.

Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.

Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.

Samia anaongea ujinga gani huu?
Mtu aliyeongelea matiti ya wanawake wenzake unategemea nini cha maana kitoke kichwani mwake?

Huyo huyo aliwahi kusema Rais huwa hakosei!

Anayaelewa kweli mambo ya uchumi huyo?
 
USA ina majimbo 50 na miji mingi sana. sasa kati ya miji hamsini mikubwa yote ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania. Narudia yote vimiji sio majimbo. Uchumi wa Tanzania ni mdogo kuliko miji ya watu milion 2 tu. Ni sawa na kulinganisha mche mmoja kwenye shamba ya miche ya hekari 100. Na hii ni mwaka 2023. GDP ya Tanzania ni chini ya $90B

Ila watanzania bwana, amesema Economic Growth na sio GDP,

Hizi ni nchi zizokua na Ongezeko kubwa la uchumi
images (3).png

Tanzania tupo kama Nafasi ya 15 hivi.
 
Back
Top Bottom