Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:

'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''

Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa

''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”

Hapo kwa Rais tumepigwa, aliwahi kuidanganya Dunia kwamba Mbowe anashitakiwa kwa kesi ya uhaini na wahaini wenzie wameshahukumiwa, hizo taarifa anazipataga kwa nani?
 
Nawaza Kiranga ana cheka kwa style gani, maana hizi pumba ni kali.

Soko la hisa la nasdaq la marekani, Lina thamani kubwa kuliko nchi kadhaa za Africa.

Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.

GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.

Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.

Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.

Samia anaongea ujinga gani huu?
 
wana sema nionyeshe marafiki zako niku onyeshe kesho yako,

Marafiki zake ni kina Steve, mwijaku na baba levo, tutegemee mengi.
 
Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.

GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.

Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.

Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.

Samia anaongea ujinga gani huu?
Nakuambiaje hii ni zaidi ya kasheshe!
Balaa kubwa sana...alafu anataka mitano tena..hahaha
 
Tunakupenda sana Nyerere kwa kila kitu ambacho umetupatia! Ila katika vitu vya kijinga umewahi kutuachia ni KATIBA YETU ni moja ya kitu cha kijinga kuwahi kutokea!
Sa100 anazungumza haya kwa sababu hakuna tena wa kumwambia kuwa yeye sio Mtanganyika bali ni Mzanzibari. Katiba yetu ni ujinga mtupu
 
Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.

GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.

Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.

Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.

Samia anaongea ujinga gani huu?
Mara zote wakivimbiwa 10% wanaropoka chochote
 
Ni maneno ya raisi kweli haya jamani au!
Tunaomba tuone clip ili tuone ukweli wa haya maneno!
Ila kama ni kweli, anyway tuyaache tu
 
Kwamba tu search kwenye internet eti Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko UK na us😀 mbona hakuigiza na mwijaku Ile movie ya kushawishi watalii alienda kuigiza na PILA wa marekani
 
Back
Top Bottom