Tuombe Mungu wakenya wasisikie hiiUkitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.
Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri” Rais Samia akizungumza na wananchi wa Simiyu akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Tutaongea kimasihara.Wanataka tuongee tu vibaya tuonekane sio wazalendo😓
Mkuu kila Mkoa kuwe na hospitali kama ya Mirembe hali ni mbaya snTulianza kuambiwa na waziri wa uwekezaji kwamba Dunia nzima uchumi umeshuka kasoro tanzania yetu, nikajiuliza tanzania ipo sayari gani
Huwezi kumsikia akiongelea deni la mamaNi tusi kubwa kwa wana simiyu, yaani kawaona ni MAZUMBUKUKU ulimwengu uko huku...
Yaani ni zaidi ya watoto wa darasa la 2D.
Hovyo kabisaNi kujipiga kidole mwenyewe na kukinusa.. hali anajua usafi wake sio mzuri.
Samia azuiwe kutumia pombe kabla ya kutoa hotuba au tamko lolote kuhusiana na mustakabali wa nchi, mental health is real.Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.
Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri” Rais Samia akizungumza na wananchi wa Simiyu akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Hiyo yote ni kwamba uendane na system. Yule wa juu akiwa kiazi, basi wote mnakua kiazi kwa kutetea ugali wenu.Ni aibu kuona akina Mkumbo (professa) na Nchemba (PhD) wana support hii kitu hadharani.
Ndio ujue ccm hata ukiwa na akili ukiingia huko akili unaziacha mlangoni
View attachment 3371417