Nishakuambia Uchumi aka GDP sio figure ya kuangalia umasikini wala duniani haitumiki, kama wewe unatumia ni tatizo lako wewe na sio la data.
India wana Gdp matrilioni ya usd wao pia ni masikini.
. So Gdp ni Gdp, Gdp growth ni growth, rate yetu ya ukuaji uchumi ni 6% Usa ni 2.8% hizo ni data, rate yetu kubwa kushinda yao ni sahihi hizo ni data.
Kama unataka kuangalia umasikini una data zako nyengine angalia kuna Viashiria vingi mno, Gdp per capita, Gini coeffient, National poverty line, World bank poverty data etc unaweza zizungumzia huko.